Serikali yazima matangazo yote kuhusu kamari (mkeka) nchini

Kwa hiyo hii habari ni ya Kenya!

Ni habari ya JAMII AFRICA, imejitosheleza kichwa cha habari na maelezo ya kina yenye manufaa chanya kwa jamii pana Africa Mashariki na mamlaka husika, ili kutafuta mikakati ya kunusuru jamii .
 
mkuu tumia google keyboard(Gboard) inapatikana playstore, naona typing errors nyingi, zima autocorrect
A kettle calling a pot black; anyway washauri JF; by the way ukitaka upotee kabisa tegemea huyu ndugu google
 
SERIKALI, kupitia Bodi ya Kudhibiti na Kusimamia Kamari (BCLB), imesitisha matangazo yote ya kamari katika majukwaa yote ya vyombo vya habari nchini kwa kipindi cha siku 30, kufuatia ongezeko la shughuli za kamari na uraibu unaoathiri jamii.
 
Soma kwanza uelewe, haraka ya nini kupongeza CCM? CCM na mambo ya Kenya wapi na wapi wewe kumbe CCM inaongoza hadi Kenya
NIMEKURUPUKA

habari za kenya za nn humu,hata kama ndo mmekuwa jamboafrika
 
Mteta mada umekosa ethics za kuleta Habari

@Mods ungezeeni neno Kenya kwenye Heading
Kweli aisee,kuna sisi akili kubwa huwa tunasoma heading na aya ya kwanza unajua uzi unazungumzia nin unashuka kucomment

Maana kuna nyuzi nying sana humu unakuta wanarudia rudia maneno tu
 
Wamenikamata leo

Tatzo nyuz nying za humu hurudia rudia maneno kwahyo ukisoma aya ya kwanza unaelewa kila kitu ila leo nmechemka
Na ndivyo inavyobidi dunia ya leo ya mambo mengi kusoma kila herufi ni kupoteza muda unachofanya ni heading kwa uhakika alafu huku chini unapitisha macho, unless ni kitu kinavutia ndio unasoma vizuri; ukifanya kazi ya kusoma neno kwa neno utakosa muda wa kufanya mengine... (Kwahio waleta uzi inabidi kuwaangalia walaji)
 
Wafute na simba na yanga uraibu umezidi.

Wasishie kufuta matangazo ya kamari bali kamari zote zifutwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…