Serikali yazima matangazo yote kuhusu kamari (mkeka) nchini

Tanzania, (CCM), wametengeza kizazi cha kamali badala ya kizazi cha kubuni miladi endelevu, kwasasa watu wakitaka kufanya jambo anajipanga kucheza kamali

Awamu hii ya 6 kumezuka pia mikopo kausha damu Ile ya marejesho ya kila siku unakopa laki 3 marejesho 12,000 japo kuna makato pia ya awali kurejesho unaanza kesho yake
 
Wafute moja kwa moja ujinga huu.Watu hawafanyi kazi wanashinda kucheza kamari tu.
 
Hii ni Kenya.

Tanzania CCM inanufaika na kamari kupitia kodi na vijana kuwa busy kubashiri huku wakiwa hawana habari na athari za kupaa kwa deni la taifa.
 
Mngepiga marufuku na madubu ya wachina yale ndio nuksi kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…