Kwa vile sikutoa sababu, hivyo ruksa kupinga bila sababu!.Mkuu Paschal,
hapo kwa NHC na TBA na Watumishi Housing nakuunga mkono kabisa lakini hapo kwa TIC na EPZA nakupinga kabisa.
Mijitu ya ccm inafirwaMijitu ya Chadema imejaa ukungu kwenye akili zao.u
Let's assume mishahara yote ya wafanyakazi wa serikalini ihamishiwe TPB,mikopo ya wafanyakazi iwe inatolewa TPB,Taasisi za umma zote as per above document wahamishie a/c zao TPB,Govt internal borrowings zifanyikie TPB(ingawa so far nadhani hio mikopo ya ndani inakaribia kuleta clouds out effects au possibly imeshaleta tayari), unadhani banks zote zilizobaki zitaweza ku survive kwa kutegemea private sector only?
BTW sector yetu ya bank bado ni changa tu hatujafikia uwezo wa kujitegemea kiasi hicho,ninaweza kukupa mfano mrahisi:Ukwasi wa bank ya FNB ya south Africa ni mkubwa kuliko ukwasi wa banks zote zilizoko Tz combined.
Alikuwa profesa? Sidhani.Haaa, Prof Joseph Mungai RIP, nchi hii imepitia maajabu mengi, imagine Maths + History, hell no, unthinkable.
Hii ni hatua nzuri kupunguza duplication na kuunda vyombo giant's.
Bado kuunganisha
NIDA na RITA
TIC na EPZA.
TFDA na TBS
NHC na TBA na Watumishi Housing
P
Asante kwa changamoto Pascal,Kwa vile sikutoa sababu, hivyo ruksa kupinga bila sababu!.
P