Serikali yaziunganisha Benki za TPB na TIB Corporate na kuwa Benki moja ya Biashara

Serikali yaziunganisha Benki za TPB na TIB Corporate na kuwa Benki moja ya Biashara

Yaani ukwasi wa TPB + TIB zikiungana ni Tshs 1 tril tu, kidogo sana sana hizo aisee.
Aisee afadhali na wewe umeona mkuu,bado wanajikongoja sana.

Na hapo imagine mojawapo kati yao ilikua ni investment bank kwa ukwasi huo,aisee.
 
Naunga mkono hoja boss kwa 100% na hata Magu alivyoingia madarakani alisema hilo jambo sana lkn sector ya bank bado ni changa sana tu bado inahitaji kupelekwa mdogo mdogo kiaina.

Hivi serikali tangu lini imefanikiwa kufanya biashara?Angalia POSTA,TTCL,TANESCO,ATCL(ambayo mnaweza ku delay kuondoka kwa masaa 2 zaidi wakiulizwa mnajibiwa tunamsubiria Dr. Tulia bado hajaingia kwny ndege), yaani inshort ili serikali ifanikiwe kufanya biashara ipasavyo lazima itengeneze mazingira ya kua MONOPOLY na hapo lazima kuna wahanga,je kwny hii sector ya ki bank nani ataenda kua mhanga?

Let's wait n see boss.
Nimeona wameomba mashirika yafungue "Operating Accounts", does it mean hata mishahara itapita huko? Plus mtandao wa CRDB and NMB ni mkubwa sana, hii bank mpya kuufikia mpaka iweze kuhudumia wateja wote hao ni ngumu.
 
Naunga mkono hoja boss kwa 100% na hata Magu alivyoingia madarakani alisema hilo jambo sana lkn sector ya bank bado ni changa sana tu bado inahitaji kupelekwa mdogo mdogo kiaina.

Hivi serikali tangu lini imefanikiwa kufanya biashara?Angalia POSTA,TTCL,TANESCO,ATCL(ambayo mnaweza ku delay kuondoka kwa masaa 2 zaidi wakiulizwa mnajibiwa tunamsubiria Dr. Tulia bado hajaingia kwny ndege), yaani inshort ili serikali ifanikiwe kufanya biashara ipasavyo lazima itengeneze mazingira ya kua MONOPOLY na hapo lazima kuna wahanga,je kwny hii sector ya ki bank nani ataenda kua mhanga?

Let's wait n see boss.
Boss serikali kwa sasa n lazima serikali iwe na chombo kama hicho pia ukiwa na chombo kama hicho itakulaximu automatically kuvitumia ili kukulinda kiuchumi na kusave matumizi yasiyokuwa na ulazima muhimu taasisi za kifedha zote nchini zijifunze kufanya kazi na mtu wa kipato cha kawaida ili waweze kusonga mbele wote kwa pamoja unaweza kwenda bank ukaomba statement ya mwaka ikaja umefanya transaction za milioni mia kwa mwaka mzima ila ukahitaji siku moja either kukopa milioni tano au kuoverdraft milioni moja hutokubaliwa utaambiwa lete nyumba ya milioni ishirini tukupe hyo hela ilhali ilihitaji mazingira kiasi TUU biashara ifanyike mambo yaende na kila mtu anufaike sawa
 
TIB kuna hela huko bado???
Wamejikopeshaaaaa wamemaliza.

Everyday is Saturday........................ 😎
 
... idea nzuri kivipi wakati benki ya biashara ya serikali (NBC) ilikuwepo ikauwawa na serikali? Ni nini kipya ambacho benki hii mpya itakuja nacho ambacho NBC ilishindwa?
Duuh . . . namuonea huruma CEO Moshingi, ana kazi kubwa sana ya kufanya shushusha NPLs ratio ya TIB Corporate Bank
 
Tulizoea miaka ya nyuma Benki kuzaa Mtoto mfano NBC ilivyozaa NMB lakini leo tunaona watoto wakiungana na siyo kuzaa tena.
Uendeshaji wa Benki zetu unapaswa kuangaliwa kwa namna nyingine
Binafsi nilitegemea TIB Corporate Bank itawezeshwa na kupiga hatua kubwa kimasoko lakini ndo hivyo tena, yaliyomo yamo
 
Uchumi umeshuka!waseme kweli!! hamna kitu hapo!! hizo ngonjera tu!!
hii nayo ni kweli pia. maana kama uchumi ungekuwa unafanya vizuri sana hiyo mikopo isiyolipika ingekuwa michache tofauti na hali ilivyo kwa baadhi ya mabenki yetu na TIB Corporate ni moja ya mifano hai ya kwa nini hali haijatengemaa kiivo
 
Aisee hapo NMB,CRDB,NBC ndio mwendo wa kifo cha mende,wanapelekwa kibra kwa style ya mwendo wa bata.
sio rahiki kiivyo mkuu, hizo benki zina loan portfolio ya mabilioni ya shilingi. kama CRDB loan portfolio yao sio chini ya trilioni 3 na ni hivyo pia kwa NMB unategemea watashuka kirahisi hivyo kwenye soko?
Bado TPB ina mlima mrefu sana wa kupanda kufikia level za NMB, CRDB na hata NBC
 
nani kajikopesha mzee?
Mkuu sina mkojo wa kupimwa!
Ninao wa mbolea tu!

Ukianzia tu lile jinamizi la show-koro, na sarakasi zingine zilizojiita wakulima, utakuta wasiowaheshimiwa ndiyo wamiliki wa mikopo michafu! Nepotism mbaya jamani!

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Miaka ya nyuma yupo waziri aliwahi unganisha masomo Maths plus history ikawa somo moja, physics plus chemistry ikawa somo moja etc eti wanafunzi wasiwe na vipindi vingi.

Naona sasa ndiyo yameingia benki.

Okay we will see.
Bila shaka alichemka, maana hali haiko hivyo kwa sasa.

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
... tangu uhuru nchi hii tuna-wait and see ajabu karibu miaka 60 tupo pale pale.
Ndo maana jamaa asema wait and see,kwamba hiki matanga wanachosema ni good idea ni utopolo Kama utopolo mwingine na mwisho siku tutajikuta tupo pale pale
 
Back
Top Bottom