Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Sasa hiki ulichojibu hapa na ukichoandika mwanzo vinaendana kweli?Hawezi.
Kwani Magu ni Mungu?
Wewe tulia utasikia maskendo mkubwa kama ya Richmond's na 1.5trilioni.
Tatizo mataga mapambio mengi hadi unapishan na data. Huna data wewe Kazi kuimba tu