mjepo
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 4,913
- 919
Mtangaze wewe kama ameshinda unayemjua.Hakuna kitu cha kumaliza Zanzibar atangazwe mshindi basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtangaze wewe kama ameshinda unayemjua.Hakuna kitu cha kumaliza Zanzibar atangazwe mshindi basi.
Wasitutishe. Hizo 1bn tutazipata hapa hapa rais anapotumbua majipu. Tukibanana wenyewe hatuhitaji pesa za wazungu hata kwenye miradi ya maendeleo. Ukwepaji kodi kwenye bandari, vat, kodi ya mapato, migodi, Maliasili na utalii,ubadhirifu serikalini na kwenye mashirika ya Umma vinatisha! Vithibitiwe. Mambo yetu ya ndani tutayamaLiza wenyewe.
Ifike mahala nchi za kiaafrika zijitegemee kwenye mambo yake, na ndy matatizo ya kutegemea wahisani kutuendeshea maisha yetu. inafika wakati watatuamrisha kuhusu mashoga. Hapo ndipo utapoona nchi za afrika kuwa na masoko ya pamoja ili kukabiliana na vitisho vya hawa nguruwe, na si masoko tu viko vingi. Gaddaf walimuwekea vikwazo mbona aliweza kuunyanyua uchumi wa nchi yake, walimua gadaf si kwasababu ya kuwasaidia wa Libya ila kwa manufaa yao wenyewe.WAAFRIKA TUAMKE, TUBADILIKE, TUJIONGEZE NA TUPENDE VYA KWETU NA TUNUNUE VYA KWETU
Marekani ina mambo yake; wamemvunja mrusi na umoja wake, hapa hata wakiamua kumleta/kumwingiza mtu wamtakaye au atakayewapa maslahi wanafanya hivyo...
Angalia nchi zilizo na vita, akiingia mmarekani pale lazima atamleta mtu wake..Angalieni sana kauli za Marekani
Wasitutishe. Hizo 1bn tutazipata hapa hapa rais anapotumbua majipu. Tukibanana wenyewe hatuhitaji pesa za wazungu hata kwenye miradi ya maendeleo. Ukwepaji kodi kwenye bandari, vat, kodi ya mapato, migodi, Maliasili na utalii, ubadhirifu serikalini na kwenye mashirika ya Umma vinatisha! Vithibitiwe. Mambo yetu ya ndani tutayamaLiza wenyewe.
Mtangaze wewe kama ameshinda unayemjua.
![]()
Serikali imezungumzia tishio la Serikali ya Marekani la kusitisha misaada kwa Serikali ya Tanzania kutokana na mgogoro wa kisiasa Zanzibar na kukamatwa kwa maofisa wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu.
Ofisi ya Ikulu yasema masharti yaliyotolewa na Serikali ya Marekani yanatekelezeka na yatamalizwa kabla ya kikao cha Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Milenia (MCC) kukaa Desemba, mwaka huu.
Wiki iliyopita, Serikali ya Marekani iliitaka Serikali ya Tanzania kumaliza haraka mgogoro wa kisiasa wa Zanzibar, vinginevyo upo uwezekano wa kusitishwa msaada wa zaidi ya Dola za Marekani milioni 472 (Sh. bilioni 999.4), za awamu ya pili ya fedha za MCC la nchi hiyo.
Chanzo: EATV
Hakuna kitu cha kumaliza Zanzibar atangazwe mshindi basi.
Naomba kuuliza,huo msaada ni kama mkopo ambao tutahitaji kuulipa baadae??? maana bil 900 ni pesa ambayo TRA wanaweza kusanya ndan ya mwez mmoja. Mie nadhan marekan wanamtest magufuli kuona kama anaobey. Kila nchi dunian sasahv inajua Tanzania has a new strictly sherrif (JPM) ambae analeta mapinduz ya kinyonyaji toka kwa viongozi na baadhi ya wawekezaji....so naamin lazma wapime waone msimamo wake kwao. Hata hvyo, kusolve issue ya znz ni muhimu sana ASAP