DP, ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Dubai!
Wakati sisi serikali yetu ikituaminisha kwamba, ni ujinga kwa serikali kujihusisha na biashara na wakati huohuo inaipa kampuni ya DP bandari zetu, ambapo ni kampuni ya kiserikali huko Dubai,
Hapa imeshajulikana nani ni nani
Msemo huu ndio Mimi huwa inanipa mashaka sana hasa linapokuja suala la kubinafisisha mali zetu, huwa hakuna ten pasent kweli kwenye kauli hizi??