Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Zitaondosha wanaume wa hovyo pia, wasio waaminifu au wanaogoma kuwataliki wake zao japo hawana mahusiano nao mazuri.
Anyway, ngoja nisubiri kusoma comments za wengine.
Sijabisha jamani, nimeongezea tu ya upande wa pili 🤣 🤣 🤣Sio wanaume wa hovyo tu pia zitaondosha wanawake matapeli kwenye maisha ya mwanaume mpambanaji.
Mnavyoombaomba hela, hili ndo suluhisho. Nakutongoza tunakubaliana kwa mwaka nakupa sh ngapi baasi.Zitaondosha wanaume wa hovyo pia, wasio waaminifu au wanaogoma kuwataliki wake zao japo hawana mahusiano nao mazuri.
Anyway, ngoja nisubiri kusoma comments za wengine.
Ukiona suala, ambalo mpaka wazungu wamelikubali, lazima tulitafakari sana.Unafikiri itakuwa suluhisho
Sio kila wanachokubali wazungu na Sisi tukikubaliUkiona suala, ambalo mpaka wazungu wamelikubali, lazima tulitafakari sana.
Yapo mema tunaweza kuiga na yasiyofaa, Je huoni hili ni jema?Sio kila wanachokubali wazungu na Sisi tukikubali
Umezunguka mnozitaondosha wanawake matapeli wa ndoa wenye dhamira za mali na si mapenzi ya kweli,
Siwezi kuwa muongo, uislam unaukamilifu kwa namna fulani.Fuateni Uislamu ndo suluhisho
Bro unaliona hili jua linavowaka? Hlf ety mumeachana mgawane nusu kwa nusu yni mwanaume uhangaike hukooo hlf kiwepesi 50 .50Siwezi kuwa muongo, uislam unaukamilifu kwa namna fulani.
Lipo kinyume na neno la MunguYapo mema tunaweza kuiga na yasiyofaa, Je huoni hili ni jema?