Serikali yoyote duniani corrupt lazima wananchi wake wapate shida

Serikali yoyote duniani corrupt lazima wananchi wake wapate shida

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
images.jpg

images - 2022-10-27T122131.302.jpeg

1446634139814.jpg
images.jpg
 
NCHI HII NI MASIKINI MNO.

MIAKA 60 WATANZANIA HAWANA MAJI YA UHAKIKA.

SIO
SIO NYERERE.
SIO MKAPA.
SIO MWINYI.
SIO JAKAYA.
SIO POMBE.
SIO SULUHU.

AMA KWELI NCHI MASIKINI JAMANI
Walalahoi kantiri
 
Binafsi niliona tumeshapotea pale alipo sema Alli hasan mwinyi kwamba kipindi chote cha uongozi wa mwinyi, mkapa , Kikwete, hakuna walicho kifanya isipokuwa Magufuli kwa muda mfupi.

Tukiangalia alichofanya Magufuli hadi kusifiwa huko bado hakionekani .

Sasa kama ya Magufuli yasio onekana ni bora kuliko ya waliomtangulia watatu, kwa maana hiyo tulipoza miaka 30 bila sababu, na bahati mbaya sana bado tuna miaka karibu saba ya kupoteza tena kwa huyu mama!

Tanzania kuendelea bila ya huruma ya Mungu ni ngumu mno.
 
watu walioendela wanajali sana wenzao lakini serikali masikini za kusifiana na uchawa uchawa hazijawahi kuwa na mambo ya maana hata siku moja , mtu anaona ufahari kutembelea mgari wa milioni 500 hadi 600 wakati kisima cha maji cha Tsh 12m tu hakuna katika mavijiji ambayo yeye ni mbunge, tuna shida kubwa sana tena ya ubinafsi ambao umefikia kwenye ushetani sasa
 
NCHI HII NI MASIKINI MNO.

MIAKA 60 WATANZANIA HAWANA MAJI YA UHAKIKA.

SIO
SIO NYERERE.
SIO MKAPA.
SIO MWINYI.
SIO JAKAYA.
SIO POMBE.
SIO SULUHU.

AMA KWELI NCHI MASIKINI JAMANI
Umasikini wa AKILI Ya KUONGOZA
 
Wao viongozi ndivyo wanavyopenda hata mkilialia ndio wanafurahi
 
NCHI HII NI MASIKINI MNO.

MIAKA 60 WATANZANIA HAWANA MAJI YA UHAKIKA.

SIO
SIO NYERERE.
SIO MKAPA.
SIO MWINYI.
SIO JAKAYA.
SIO POMBE.
SIO SULUHU.

AMA KWELI NCHI MASIKINI JAMANI
Matajiri ni viongozi tu na wale wanaowawezesha kuzipata hizo nafasi hata kama hatujawachagua.

Kiongzoi anayeingia Madarakani kwa vurugu na shari usitarajie ataifanyia Taifa kitu cha maana
 
Miaka zaidi ya 50 ya Uhuru lakini imeshindikana kabisa kuweza kupata usambazani wa huduma ya Maji kwa uhakika Mwaka mzima? (Through out the year).

Uliza ni % ngapi inafikiwa na huduma ya maji safi na salama?

Na hiyo % uhakika wa upatikanaji wa huduma haupo ni mashaka matupu! [emoji24]

Maji ni huduma ya msingi Kwa binadamu.

Sijui tunakwama wapi?

Au Maji sio kipaombele?

Kila Mwaka bungeni budget inasomwa na kupitishwa lakini hali hairidhishi.
 
Back
Top Bottom