Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Kwani hiyo simu ilianzia hapo ulipoanza kutumiaMambo ya wahenga yashapitwa na wakati
Mkuu usibishane naye si unajua kuna mtu alisema hakuna dini iliyowahi kuoverride serikali.Kwani hiyo simu ilianzia hapo ulipoanza kutumia
MaduroWapo wanaodhani Kanisa ni jengo tu.
Historia inasema vinginevyo.
Kanisa Katoliki si chama cha siasa, lakini likiguswa vibaya, huamsha nguvu ya wananchi kuliko risasi.
Hebu tuangalie mifano ni mingi ila kwa uchache.
1. Philippines – Ferdinand Marcos (1986)
Marcos alikuwa na Jeshi pamoja na Polisi plus Sheria za dharura
Lakini alisahau kitu kimoja:
Imani ya watu
Alipuuzia Kanisa, akadhani ni maneno ya madhabahuni.
Kanisa likawaita watu barabarani.
Jeshi likakataa kuwapiga wananchi. Marcos akakimbia nchi. Serikali ikaanguka bila vita
Funzo: Ukigombana na Kanisa, unagombana na watu.
2. Poland – Serikali ya Kikomunisti (1989)
Ukomunisti ulisema:
“
Dini ni adui wa dola.”
Kanisa Katoliki likakataa kunyongwa kimya kimya.
Papa Yohane Paulo II akasema:
👉 “Msione hofu.”
Wafanyakazi, wanafunzi, wananchi wakaamka.
Harakati ya Solidarity ikazaliwa.
👉 Serikali ikaanguka.
👉 Ukuta wa Berlin ukaanguka.
👉 Ukomunisti Ulaya Mashariki ukaporomoka.
Funzo: Ukibana imani, unazalisha uasi.
3. Chile – Pinochet
Utawala wa kijeshi.
Mateka, mateso, mauaji.
Kanisa Katoliki: – Likawalinda waathirika
– Likakosoa hadharani
– Likakataa kuogopa
Pinochet alidhani silaha zinatosha.
Referendum ikamwangusha.
👉 Akaondoka madarakani.
👉 Historia ikamhukumu.
4. Nicaragua – Somoza (1979)
Utawala wa kifamilia.
Rushwa + unyonyaji.
Mapadre wakasimama na maskini.
Kanisa likapoteza hofu.
👉 Wananchi wakaungana.
👉 Serikali ikaanguka.
Funzo: Ukiona Kanisa kimesimama na maskini, jiandae.
5. El Salvador – Serikali ya Kijeshi
Askofu Oscar Romero aliwaambia wanajeshi:
“Msifuate amri dhalimu.”
Serikali ikamuua akiwa anaongoza misa.
Ilikuwa kosa kubwa zaidi.
. Dunia ikaamka.
. Serikali ikapoteza uhalali.
. Hatimaye ikaanguka.
In short dunia ni kitabu kikubwa chenye rejea nyingi na jukumu la kila mmoja kupitia na kupata funzo.
Mkuu unalijua kanisa katoliki na kisa cha king James kuwa muangalikan? Babu zake Henry wa VIII alifukuzwa kutoka ukatoliki baada ya kutaka kuoa kinyume na kanisa. Kaa kimya kama haujui kituWakatoliki walipelekewa moto huko UK miaka ile walivyotaka kujifanya wanampangia King James nini cha kufanya, ni walikatwa vichwa hasa na sasa ni kama hawapo UK
Na kule Ireland ya Kaskazini wanawashiwa moto kila siku na Waprotestant
Tukienda US, walizimwa kidomodomo chao na Walokole
Sasa ndio unajiona umetoa pointMkuu unalijua kanisa katoliki na kisa cha king James kuwa muangalikan? King James alifukuzwa kutoka ukatoliki baada ya kutaka kuoa kinyume na kanisa. Kaa kimya kama haujui kitu
Elsavadori umenikumbusha mbali sana, nishaicheki hii movie, huyu askofu alikuwa balaa.5. El Salvador – Serikali ya Kijeshi
Askofu Oscar Romero aliwaambia wanajeshi:
“Msifuate amri dhalimu.”
Serikali ikamuua akiwa anaongoza misa.
Ilikuwa kosa kubwa zaidi.
. Dunia ikaamka.
. Serikali ikapoteza uhalali.
. Hatimaye ikaanguka.
Historia yake ni ya kusisimua mno hasa Kwa wakatoliki na wapigania haki duniani. Na ametangazwa kuwa mtakatifu mwaka 2018.Elsavadori umenikumbusha mbali sana, nishaicheki hii movie, huyu askofu alikuwa balaa.
kama sio shekhe ubwabwa wew ni mlokoleWakatoliki walipelekewa moto huko UK miaka ile walivyotaka kujifanya wanampangia King James nini cha kufanya, ni walikatwa vichwa hasa na sasa ni kama hawapo UK
Na kule Ireland ya Kaskazini wanawashiwa moto kila siku na Waprotestant
Tukienda US, walizimwa kidomodomo chao na Walokole
Cha kushangaza bado wapo na muda umehukumu kwamba walikuwa sahihi 😀Wakatoliki walipelekewa moto huko UK miaka ile walivyotaka kujifanya wanampangia King James nini cha kufanya, ni walikatwa vichwa hasa na sasa ni kama hawapo UK
Na kule Ireland ya Kaskazini wanawashiwa moto kila siku na Waprotestant
Tukienda US, walizimwa kidomodomo chao na Walokole
Wahenga tupo zaidi ya miaka 2000 sasa na bado tupo imara zaidi ya Hitler na USSR ambao walikuja na wameondokaMambo ya wahenga yashapitwa na wakati
Sasa ndiyo umeandika nini? Unajiona umeandika point mwenyewe 😀 Kwamba baada ya kufyekelewa mbali leo baada ya miaka 2000 hawapo? Very stupid mindSasa ndio unajiona umetoa point
Upupu mtupu, King James hakutaka kupangiwa, hio ndio sababu kuu, walikufa wakutosha iweje leo ni kama hakuna wakatoliki, kwani leo kuna waanglikana wanaoa wake wawil?i, hiyo ilikuwa inatafutwa sababu ya kuwafyekelea mabli