UKiwa huna akili na uelewa wa kutosha usiwe unapenda kuropoka ropoka, ukaishia kujiaibishaWakatoliki walipelekewa moto huko UK miaka ile walivyotaka kujifanya wanampangia King James nini cha kufanya, ni walikatwa vichwa hasa na sasa ni kama hawapo UK
Na kule Ireland ya Kaskazini wanawashiwa moto kila siku na Waprotestant
Tukienda US, walizimwa kidomodomo chao na Walokole
tena walokole wa mwamposa waliofanywa misukulekama sio shekhe ubwabwa wew ni mlokole
Kwa hiyo hapa napo mtawakata vichwa?Wakatoliki walipelekewa moto huko UK miaka ile walivyotaka kujifanya wanampangia King James nini cha kufanya, ni walikatwa vichwa hasa na sasa ni kama hawapo UK
Na kule Ireland ya Kaskazini wanawashiwa moto kila siku na Waprotestant
Tukienda US, walizimwa kidomodomo chao na Walokole
Waislamu hawa akina Kidawa?Mifano uliyotoa ni ya nchi za kikatoliki pekee kumbuka Tanzania inawaislamu wengi nawapo wanasoma mchezo
Upuuzi mtupu.
UKiwa huna akili na uelewa wa kutosha usiwe unapenda kuropoka ropoka, ukaishia kujiaibisha
Waktoliki nchini Uingereza ni jamii imara, na siku za karibuni waanglikana wengi wamebadilika na kujiunga na Kanisa Katoliki. Tony Blair, aliyekuwa waziri Mkuu wa Uingereza, naye ni miongoni mwa waliobadilika na kuwa wakatoliki. Kama unafahamu kusoma, ebu soma hapa upunguze ujinga:
Catholics are a significant minority in the UK. influenced by Irish migration and recent converts, with recent surveys showing a notable increase in young adult adherence driven by a search for tradition and stability amidst modern changes, making it the fastest-growing denomination among churchgoers. While Christianity's overall numbers decline, Catholic numbers remain steady or are growing in specific demographics, with figures around 3.8 million in England & Wales and significant populations in Scotland and Northern Ireland.
Na huko USA, soma hapa kama unayo akili angalao ya kawaida:
Catholics are the largest single religious group in the U.S., with over 60 million adherents, comprising about 20% of the total US population. Catholism is growing fastest in the South and West.
Fewer Catholics attend Mass weekly compared to past decades, though many remain inwardly religious with daily prayer.
Baada ya hii elimu ndogo, bila shaka utakuwa umepunguza ujinga.
Wewe mbung'0 imebidi nikurudie.