Mtoa mada umeongea kitu cha maana Sana kama nchi kuchukua tahadhari ya chakula maana kwa wale ambao mtakua mmetembea tambea mikoani mavuno ni kigogo msimu huu jambo ambalo linatishia usalama wa nchi,kibaya zaidi nchi majirani kama Zambia Malawi ambao ni wakulima wazuri wa mahindi na wanategemewa wana mavuno kidogo. Sasa kila serikali iangalie usalama wa raia wake kwa chakula