Serikalini watu tunaishi kwa kuiba; huu ndo ukweli

Majizi yako humu yameuchuna tu tena mengine yatajifanya kukemea tabia ya wizi.

Ngoja niwambie ukweli .Serikali haina shukrani itakutumia kama kondomu ukuisha muda inakudampo. Tena unaweza kufanya mazuri mia moja ila kosa moja tu itakuadabisha. Kwahiyo jamani wewe ukijifanya mzalendo itafika muda wako wa kustafu utatoka na uzalendo wako.

Muhimu ni kwamba ukipata upenyo wa kupiga we piga tumia amri ya kumi na sita ya shetani inayosema "Usihurumie kiumbe ambacho haukukiumba".
Makanisani viongozi wanapiga sembuse serikalini.
Wewe jifanye mzalendo utakufa masikini na uzalendo wako.
 
Kwenye hili (WATAKATIFU WOTE) haliwahusu ndugu, ila ukweli unabaki hivo tu
Wala hakuna cha utakatifu wizi ni mbaya mkuu kila mtu analijua hilo , akija mtu akasema yeye ni mwizi wa kuku na kuvunja nyumba za watu ,akaleta uzi humu , utamkosoa kwa lipi ? Wakati yeye na mtoa mada wote ni wezi tuπŸ€”πŸ€”
 
Wizi upo kwa asilimia 99.99999, haijalishi
Wala hakuna cha utakatifu wizi ni mbaya mkuu kila mtu analijua hilo , akija mtu akasema yeye ni mwizi wa kuku na kuvunja nyumba za watu ,akaleta uzi humu , utamkosoa kwa lipi ? Wakati yeye na mtoa mada wote ni wezi tuπŸ€”πŸ€”
 
Ni muhimu sana pia kutokuzaa zaidi ya watoto wawili kama mshahara wako take home haufiki milioni 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…