Serious man needed baadae awe mume

Sipendi kukatisha tamaa watu lakini kwa wewe acha nikueleze ukweli tu hautapata mtu humu ndani na ukiendelea hivyo hadi huko nje mitaani. Sababu unachagua sanaaa mashariti kibao kama mganga wa kienyeji. Wewe unasifa nne(4) lakini unataka mwanaume mwenye sifa nane(8)!!!! Huyo utamtoa mbinguni tu sio humu JF au kazini kwenu au kitaa.
 
Vigezo wewe ulijiumba? What if leo hii ukavunjika miguu ukawa kilema je tukunyanyapae? Acheni kumkosoa Mungu nyie wanadamu.
 
Tutafutane kama bado jujapata
 
Hivi mtu anapotoa masharti ya kutofanya mapenzi na yeye sio bikira, hao waliomvumbua si wangemuoa??
 
Jamani wengine mbona mapovu kma unaona vigezo sio vyako unakausha unaenda kwenye Uzi wa cfa zako
 
Kuna haka kamsemo ka kwa akina thumuni (50 cent). "The perfect wife is the one who marries an imperfect man and changes him to be perfect husband".

Sasa ukishaona mavigezo mengi ujue hapo......
 
Kuna haka kamsemo ka kwa akina thumuni (50 cent). "The perfect wife is the one who marries an imperfect man and changes him to be perfect husband".

Sasa ukishaona mavigezo mengi ujue hapo......
Malizia ili ueleweke vizur, kwani kuna sehem nimeandika nahitaji perfect man, soma vizuri uelewe kabla ya kucomment
 
Pole sana. Unayemtafuta hutompata. Muombe Mungu akupe mume mwema. Itakusaidia. VIGEZO VYAKO MTU HUKO HAJAZALIWA KWA DUNIA YA LEO.
Yaani uliyemquote na dhana ya comment yako mbingu na ardhi
 
inasemekana mkiambiwa kazi zao huko pm mnachikichia moja kwa moja tehe tehe tehe
Nikweli wanawake wote wanaokuja kutafua wanaume humu hulenga kupata wanaume wenye elimu kubwa wakiamini ndio wenyemaisha mazuri. Kuna mmoja alionekana kweli anania ya kuolewa lakini nilipokuwa muazi kumwambia ukweli kiwango cha elimu yangu hakupokea simu yangu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…