Serious man needed baadae awe mume

Serious man needed baadae awe mume

Msifanye mapenzi mhhh nani anataka kununua mbuzi ndani ya gunia?
Hahahaa hiki kigezo naoan kinakua kigumu kwa wandugu zangu
 
Mbona sisi wenye 45+ umetutenga? Unadhani hatuhitaji mambo yetu yale?
 
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam

Pm kwa maelezo zaidi
Tatizo lako sio dogo
 
bila shaka utakuwa muislamu jina usiyejua taratibu za dini yako ziko vp...

ulikotoka umetoka kwenye haramu na ulichitoa hapa kama tangazo nacho pia haramu, tafuta watu wenye utambuzi wa dini yako unaishi nao ktk jamii inayokuzunguka wakuelekeze nini cha kufanya na siyo kuhangaikahangaika huku mtandaoni, kwani huko ni kukiuka taratibu za iman yako.
Pita HV baba [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]
 
bila shaka utakuwa muislamu jina usiyejua taratibu za dini yako ziko vp...

ulikotoka umetoka kwenye haramu na ulichitoa hapa kama tangazo nacho pia haramu, tafuta watu wenye utambuzi wa dini yako unaishi nao ktk jamii inayokuzunguka wakuelekeze nini cha kufanya na siyo kuhangaikahangaika huku mtandaoni, kwani huko ni kukiuka taratibu za iman yako.
We uliekamilika unatafuta nn huku kwenye love connect au ulijua ni forum ya dini?? Kila mtu na imani yake na maisha yake pia
 
Back
Top Bottom