serious man to build a family!

serious man to build a family!

Smile nilitaka kurusha kete kwako ila kwa hiyo legacy yako imeniogofya kweli...lol
sidhani kama utapata no mkuu labda usubiri usajili wa dirisha dogo msimu wa sikukuu
 
There is no one definitive way but definitely this is not the way.

You can't just drop some detail starved one liners and expect to get serious candidates.

Unless maybe you live in wonderland and not realville.

I see. . .
So what do you suggest she does to find her Mr Serious? Wait for him to show up? Hunt him down Uraiani?
 
loreeen umeona eeeh
ungewekeza toka zamani yote haya yasingekukuta ,ungehamia tu upande wa pili kilaiini,
next time uhakikishe benchi kuna wawili watatu.
we ni kuingiza tu kitu uwanjani majeruhi yakitokea

Aminiaaa...kweli wewe Mourinyo wa wadada, at last kaibuka tena kwa nguvu mpya baada ya kumPM training...hahahah!
 
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact!
clarify it madam maelezo zaidi ni msaada hiyo seriousnes yako ionekane sawa
 
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact!
habari wana jf,ni hivi utajuaje kuwa uliyenaye anakupenda? na ni mambo gani ya kuangalia?

habari zenu wana jf,ni hivi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana ila ikaja ikatokea amepunguza mapenzi kwangu,baadae nikagundua kuwa anatoka na msichana mwingine kwa siri na hakutaka nifahamu .cku moja nikamweleza akastuka na kukana kuwa atembei nae,baada ya kujua nimefahamu akakata mawasiliano kabisa na cm akawa hapokei.niliumia sn coz nampenda na siku taka kumpoteza kwa kipindi kile.nikakaa kama mwaka nikiogopa kuingia kwenye mausiano mengine,na nikijua labda atajirekebisha,baadae nikaamua kuwa na m2 mwingine ,ila amenifuata anataka turudiane tena nifanyaje?asanteni

habarini wanajf, kuna tatizo ambalo nahisi linasumbua wa2 wengi, ni hivi mnapoanza relation mpk level nyingine ni nani anatakiwa awe wa kwanza kumtamkia mwenzake kuwa wakajitambulishe au kufunga ndoa? je ni mwanamke au mwanaume? nisaidieni!
habarini wana jf, jamani mwenzenu nimekuwa hurted hii ni mara ya pili uchungu ninaoputa ni kama kidonda nisaidieni nifanyaje?

Najaribu kuconnect the dot..................lakini naona .........................mweeehhhh........................Loreen!!!!!!!
 
hawajui kwamba mambwa mitu wenye njaa tumo humu?tusijetukamuumiza bure
 
I see. . .
So what do you suggest she does to find her Mr Serious? Wait for him to show up? Hunt him down Uraiani?

She needs to know who she is first. Meaning what her morals are, what she wants in life, where she sees herself in the next 10 years, etc.

Once she gets that clarity of purpose then she can set her standards. After standards are set then she can start looking for her prince charming/ mr. serious who meshes well with her established values.
 
kama anam-hunt kama swala
Asije tu akatumia mkuki wake, atamuua kabla ya ndoa.

I see. . .
So what do you suggest she does to find her Mr Serious? Wait for him to show up? Hunt him down Uraiani?
 
Halafu rafiki ndio ushauri gani huo ni wewe kweli?

Back
Top Bottom