Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
sidhani kama utapata no mkuu labda usubiri usajili wa dirisha dogo msimu wa sikukuuSmile nilitaka kurusha kete kwako ila kwa hiyo legacy yako imeniogofya kweli...lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sidhani kama utapata no mkuu labda usubiri usajili wa dirisha dogo msimu wa sikukuuSmile nilitaka kurusha kete kwako ila kwa hiyo legacy yako imeniogofya kweli...lol
There is no one definitive way but definitely this is not the way.
You can't just drop some detail starved one liners and expect to get serious candidates.
Unless maybe you live in wonderland and not realville.
sasa nimefunga kusajili subiri dirisha dogommmmmmmmmh! toka jana nakuomba unisajili ,bado nasubiri pm yako.
loreeen umeona eeeh
ungewekeza toka zamani yote haya yasingekukuta ,ungehamia tu upande wa pili kilaiini,
next time uhakikishe benchi kuna wawili watatu.
we ni kuingiza tu kitu uwanjani majeruhi yakitokea
basi utakuwa una bad luck.....ila one day will.....
mimi nipo good pia!
clarify it madam maelezo zaidi ni msaada hiyo seriousnes yako ionekane sawahabarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact!
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact!
habari wana jf,ni hivi utajuaje kuwa uliyenaye anakupenda? na ni mambo gani ya kuangalia?
habari zenu wana jf,ni hivi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana ila ikaja ikatokea amepunguza mapenzi kwangu,baadae nikagundua kuwa anatoka na msichana mwingine kwa siri na hakutaka nifahamu .cku moja nikamweleza akastuka na kukana kuwa atembei nae,baada ya kujua nimefahamu akakata mawasiliano kabisa na cm akawa hapokei.niliumia sn coz nampenda na siku taka kumpoteza kwa kipindi kile.nikakaa kama mwaka nikiogopa kuingia kwenye mausiano mengine,na nikijua labda atajirekebisha,baadae nikaamua kuwa na m2 mwingine ,ila amenifuata anataka turudiane tena nifanyaje?asanteni
habarini wanajf, kuna tatizo ambalo nahisi linasumbua wa2 wengi, ni hivi mnapoanza relation mpk level nyingine ni nani anatakiwa awe wa kwanza kumtamkia mwenzake kuwa wakajitambulishe au kufunga ndoa? je ni mwanamke au mwanaume? nisaidieni!
habarini wana jf, jamani mwenzenu nimekuwa hurted hii ni mara ya pili uchungu ninaoputa ni kama kidonda nisaidieni nifanyaje?
umeona eeeh nyie wapuuzi tuAminiaaa...kweli wewe Mourinyo wa wadada, at last kaibuka tena kwa nguvu mpya baada ya kumPM training...hahahah!
sidhani kama utapata no mkuu labda usubiri usajili wa dirisha dogo msimu wa sikukuu
basi sepaSasa msimu wa dirisha dogo sikutakuwa na mkanyagano
I see. . .
So what do you suggest she does to find her Mr Serious? Wait for him to show up? Hunt him down Uraiani?
basi sepa
ukifika unipm km nitakuwa available....:eyebrows:sasa nimefunga kusajili subiri dirisha dogo
I see. . .
So what do you suggest she does to find her Mr Serious? Wait for him to show up? Hunt him down Uraiani?
umeona kongosho eeehBora yangu mie niliamua kuwa fagasoni, nampanga nayemtaka kwa matokeo nayoyataka kwa wakati huo.
navokuona hata bure sitokuchukuaDah hapa hasepi mtu msimu wa dirisha dogo sio mbali au kama vipi nipe hata usajili wa kwa mkopo
bila hiyana ,,,thts wat am tokng about"Atakua."
Na je kama bahati nzuri ndio iliyomleta hapa?
Glad to hear that!!
loreeen umeona eeeh
ungewekeza toka zamani yote haya yasingekukuta ,ungehamia tu upande wa pili kilaiini,
next time uhakikishe benchi kuna wawili watatu.
we ni kuingiza tu kitu uwanjani majeruhi yakitokea