Serious: Natafuta mwenza(mume)

Serious: Natafuta mwenza(mume)

kwa nini wasichana wengi huamka wakiwa na miaka 27........

nimeukumbuka uzi huu

span yao ndogo sana just imagine wakifika 45 menopause sasa 27 hadi 42 kwa miaka 15 inabidi afyatue fasta fasta hapo hata wa4.
 
Me nina 26,kama unaweza nivumilia nisubiri nifikie iyo 29 ili nikuchukue jumla if.
 
msichana akifika age 27 n above inakuwa noma...dah pole
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 na miezi kadhaa kabila langu ni mmasai japokuwa hata umasaini sikujui wala lugha ya kimasai lakini ni mmasai. rangi yangu ni maji ya kunde umbile wastani urefu wastani pia kwa maana ya sio mrefu wala mfupi. Nina elimu ya college na nimuajiriwa kwenye private company moja hivi. Natafuta Mume awe mwembamba au wakati maji ya kunde au mweusi kabisa, awe na alimu kidato cha nne na kuendelea awe mwenyekujishughulisha awe na umri wakuanzia miaka 29 - 35 alie serious anipm email yangu ni. rusizebloni12@gmail.com
Kila la kheri mrembo..!!
 
navyo vigezo vyote ni pm unipe number ya simu kama una Whatsapp tuonane kwanza
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 na miezi kadhaa kabila langu ni mmasai japokuwa hata umasaini sikujui wala lugha ya kimasai lakini ni mmasai. rangi yangu ni maji ya kunde umbile wastani urefu wastani pia kwa maana ya sio mrefu wala mfupi. Nina elimu ya college na nimuajiriwa kwenye private company moja hivi. Natafuta Mume awe mwembamba au wakati maji ya kunde au mweusi kabisa, awe na alimu kidato cha nne na kuendelea awe mwenyekujishughulisha awe na umri wakuanzia miaka 29 - 35 alie serious anipm email yangu ni. rusizebloni12@gmail.com
Je
Wewe ni chenza au chungwa?mm natafuta cheza
 
Dada hujachakachua umri kweli?? Maana cku hizi dem atakuambia ana miaka let say 25 kumbe ana miaka 29...wanawake wamezidi kuchakachua umri.. Mimi nikifikia wakati wa kuoa naenda kijijini ulipozaliwa kwa siri napeleleza mpaka nijue umezaliwa mwaka gani maana unaweza ukaoa dem ukafikiri ana miaka 26 kumbe umeoa jimama...Wanawake mmekuwa fake fake kwa kila kitu..Misura yenyewe cku hizi mnabandika ya bandia ukichanganya na huyu hung hang aliyeanzisha gereji ya wanawake.. ni majanga every where!!
 
Kazi ipo...lkn siamini sana mapenzi ya namna hii...samahani lkn...me naamini mwenza anatakiwa awe mtu unayefahamiana kwanza,kwa maana kwamba,mmeonana b4,then penzi ndo lichipue...love should be natural,not artificial as it looks here...ni mara mia hata mtu akakuunganisha na mtu,ambapo kuna kufahamiana kidogo,kuliko hivi...au unataka kusema huko uliko hakuna mwenye vigezo hivyo?
Ni mtazamo tu...
 
Back
Top Bottom