Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini wasichana wengi huamka wakiwa na miaka 27........
nimeukumbuka uzi huu
NIPO TAYARI!!
:A S-key:
Kila la kheri mrembo..!!Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 na miezi kadhaa kabila langu ni mmasai japokuwa hata umasaini sikujui wala lugha ya kimasai lakini ni mmasai. rangi yangu ni maji ya kunde umbile wastani urefu wastani pia kwa maana ya sio mrefu wala mfupi. Nina elimu ya college na nimuajiriwa kwenye private company moja hivi. Natafuta Mume awe mwembamba au wakati maji ya kunde au mweusi kabisa, awe na alimu kidato cha nne na kuendelea awe mwenyekujishughulisha awe na umri wakuanzia miaka 29 - 35 alie serious anipm email yangu ni. rusizebloni12@gmail.com
navyo vigezo vyote ni pm unipe number ya simu kama una Whatsapp tuonane kwanzaMimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 na miezi kadhaa kabila langu ni mmasai japokuwa hata umasaini sikujui wala lugha ya kimasai lakini ni mmasai. rangi yangu ni maji ya kunde umbile wastani urefu wastani pia kwa maana ya sio mrefu wala mfupi. Nina elimu ya college na nimuajiriwa kwenye private company moja hivi. Natafuta Mume awe mwembamba au wakati maji ya kunde au mweusi kabisa, awe na alimu kidato cha nne na kuendelea awe mwenyekujishughulisha awe na umri wakuanzia miaka 29 - 35 alie serious anipm email yangu ni. rusizebloni12@gmail.com
JeMimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 na miezi kadhaa kabila langu ni mmasai japokuwa hata umasaini sikujui wala lugha ya kimasai lakini ni mmasai. rangi yangu ni maji ya kunde umbile wastani urefu wastani pia kwa maana ya sio mrefu wala mfupi. Nina elimu ya college na nimuajiriwa kwenye private company moja hivi. Natafuta Mume awe mwembamba au wakati maji ya kunde au mweusi kabisa, awe na alimu kidato cha nne na kuendelea awe mwenyekujishughulisha awe na umri wakuanzia miaka 29 - 35 alie serious anipm email yangu ni. rusizebloni12@gmail.com
Kaka yangu mwenye umri wa miaka 50 anatafuta mke, kama vipi nikuunganishe nae?
Kila la kheri bdada
Hamsini ni mingi sana my dear.Kaka yangu mwenye umri wa miaka 50 anatafuta mke, kama vipi nikuunganishe nae?