Serious Note: Hivi wanawake wanatushindwa wapi ?nazungumzia usafi wa mazingira.

Mm demu kama kaja kunitembelea na kulala nitafanya kila kitu kuanzia kudeki, kupika na kutandika kitanda ili aone mfano, nikiludi kutoka kwenye miangaiko nikakuta kamiss step ata moja huyo biashara imeishia hapo. Ata majirani uwa wananishangaa kwakweli mimi ni usafi usafi ni mm, nasema mpaka nipate mwanamke anayenizidi usafi vinginevyo itanichukua muda kuoa.
 
Jomba wewe sio muoaji! Hadi atakayekuzidi wewe wakati kuna wengine wanakuwa na usafi unaotokana na some psychological factors? Kama nawe ni mmoja wao halafu unatarajia mtu wa kawaida akuzidi ndipo awe ndie chaguo lako, basi hautaoa!!!
 
Daa nyie mnajiita wachafu ukiingia gheto kwangu lazima uumwe mafua,net ina miezi mitatu asaiv siitoag yaan nafanya kuingia tu...mashuka nina miezi mitatu hayajafuliwa..nguo zangu zenyewe madobi wanazikataa ikiwemo mashuka labda niwalipe pesa mara mbili ndo wanakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…