Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

heee nimesahau ngoja niirudie kuisoma hii thread hivi wajua kama mpaka wakati huu tread mi bado sijaisoma??? maana nilivyoona mchangiaji wa mwisho alikuwa ni hashycool ndio nikaona hebu niifungue hii thread ndio nikakutana na mengine sasa ya kuisoma thread yakawa yamekaa pembeni lakini sasa ngoja nisome nitoe ushauri na mie...lol...
Si huyu aliyeanzisha hii thread
 
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 

Mm nitakupa dada angu nihakikishie kwanza kama hutamlisha mmbwa
 
Ana bahati imeanza kuchakachuliwa page ya 7

You know bro...this young boy XOXOQY yupo serious anatafuta jiko, but wadau baadala ya kumpigia cross, wamegeuza hii ni venue ya either kujipigia mapande au kupalilia relationships zao.....not good!

Get back to the topic: XOXOQY ANATAFUTA MKE WA KUMWOA.......!
 

Unaotuona hatukwalifai!Kama wapo watamuibukia PM!
 

Aisee!

Kaskazini ya: Iringa, UDSM, Dar, Kinondoni au Mwnanyamala Hospitali.

Huku kaskazini mwa Dar yaani Bunju B kuna wanyalu kibao wana sifa ulizozitaja....tatizo wako kaskazini!

Kama bado mnatafuta wake kwa vigezo vya Jiografia, mmepitwa na wakati kweeeeeli kweli!

Kila la kheri thou:A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 

Sawa Taluma,vipi wewe ulifanikiwa?uliona ile thread ya kuwepo dating site?? mtu mwenye nia na XOXOQY atam-PM....hatuwezi acha thread iishie message 10.....na kama unavyoona hapa,tumempa mtiririko wa maisha ya mahusiano hadi ndoa.....yeye ajifunze toka kwetu....tunajua tunalofanya...ingekuwa tunapiga siasa ungesema but unaona hapa ni mahusiano.....ila tumekusikia.....tunaondoka zetu.....:laugh::laugh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…