- Thread starter
- #421
We Ksokso naona umekua kama Jafarhymes...kukosa imekua tabu..unaanza kunipakazia!
teeteteeeh...umenkumbusha...kuachwa...kuachwa aaaah...kuachwa nshuhur pevu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Ksokso naona umekua kama Jafarhymes...kukosa imekua tabu..unaanza kunipakazia!
teeteteeeh...umenkumbusha...kuachwa...kuachwa aaaah...kuachwa nshuhur pevu...
ok nimepata ujumbe kutoka yahoo wananambia my inbox is almost full,nimeenda kufungua nimekuta email nying tu za warembo ingawa nyingine za kutoka kule niliko kukataa ingawa watumaj wa huko wameahidi kuchenji,sinakinyongo nao nimezpokea ila kuna huyu mmoja ame2ma kama ishirin peke yake cjui arifikiri mwenye nying ndo atashinda,ni dada mmoja amejitambulisha kwa jina la LIZZY.lakn nmem-disqualify kutokana na ukwel kwamba ameandika kiingereza kibovu sana hivo na hc huyu co mkaskazn bali sh is from India!
:coffee::coffee::coffee::mvutaji::mvutaji::majani7::majani7:Lizzy naomba unitumie PM nataka niangalie kama PM zangu zinafanya kazi
Hahahahaha!Bigie calm down!:coffee::coffee::coffee::mvutaji::mvutaji::majani7::majani7:
Halafu :car: then:boxing::boxing::rip::rip:
Orait Orait sasa naona PM zinafanya kazi vizuri:coffee::coffee::coffee::mvutaji::mvutaji::majani7::majani7:
Halafu :car: then:boxing::boxing::rip::rip:
:coffee::coffee::coffee::mvutaji::mvutaji::majani7::majani7:
Halafu :car: then:boxing::boxing::rip::rip:
Orait! just know i am:coffee::coffee:aHahahahaha!Bigie calm down!
Kijana upo chuoni warembo kama mvua, kwanini watafuta mke huku? Haya sasa hamna utakachopata hapa, zaidi ni kejeli...Kila la kheri...kuna uliyepangiwa na Mungu
keeping close eye on you....orait! Just know i am:coffee::coffee:a
I got all that!!......but I have not forgotten how to :boxing::boxing:na busara zangu zinaweza kunituma nitumie ujuzi wangu huo.Lakini Biggy si ulisema
Nimejifunza uvumilivu
Sasa nina busara zaidi
Halafu wewe ukasema:Lakini Biggy si ulisema
Nimejifunza uvumilivu
Sasa nina busara zaidi
Let me just run for my lifeI got all that!!......but I have not forgotten how to :boxing::boxing:na busara zangu zinaweza kunituma nitumie ujuzi wangu huo.
Nlitaka kujua kama utanionea wivu kidogo Bigie...siunajua ni mbolea ya penzi..!Orait! just know i am:coffee::coffee:a
Halafu wewe ukasema:
Miss u
Lizzy..
Kheee Kheee Mwambie Biggie apunguze ku-edit halafu na wewe nilikuwa nakuona mjanja kumbe hata hauwezi kushtukia kitu kama mtu ka-editWe Fynest nini hiki?Mi nlidhani tunataniana kumbe mwenzangu uko siriaz?
Duh wanaJF kiboko......yaani sredi imepigwa uchakachuzi page ya tatu sijui ya 4 na sasa hivi iko 22 ukiangalia kichwa cha sredi na longolongo zinazoendelea tofauti. Muanzisha sredi mwenyewe naona amekubali matokeo na amejiunga rasmi kwenye uchakachuzi.........hahahahah. Btw wachakachuzi wakuu hapa ni
Endelea kujaza listi hiyo ndugu mtazamaji.
- The Finest
- Lizzy
- Michelle
- Hashycool
- ............