Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

Ankal mwalimu wako mkuu amerudi ndio maana umekimbia fasta Khee Kheee kheeee
dah! ankal umeread between ze lines. unajua majuzi kuliripuka kabisa yaani. hii JF we acha tu. sasa tunataka kufanya baby come back bana
 
Bulaza mimi nakushauri mtafute MAGE naye yupo more than SERIOUZ kusaka MUME!!!
I hope mtaendana coz hivo vigezo co issue.
 
Halafu mbona jamaa hatupi fidibaki yaani sredi imefika page ya kumi hamna fidibaki hata moja

ok nimepata ujumbe kutoka yahoo wananambia my inbox is almost full,nimeenda kufungua nimekuta email nying tu za warembo ingawa nyingine za kutoka kule niliko kukataa ingawa watumaj wa huko wameahidi kuchenji,sinakinyongo nao nimezpokea ila kuna huyu mmoja ame2ma kama ishirin peke yake cjui arifikiri mwenye nying ndo atashinda,ni dada mmoja amejitambulisha kwa jina la LIZZY.lakn nmem-disqualify kutokana na ukwel kwamba ameandika kiingereza kibovu sana hivo na hc huyu co mkaskazn bali sh is from India!
 
ok nimepata ujumbe kutoka yahoo wananambia my inbox is almost full,nimeenda kufungua nimekuta email nying tu za warembo ingawa nyingine za kutoka kule niliko kukataa ingawa watumaj wa huko wameahidi kuchenji,sinakinyongo nao nimezpokea ila kuna huyu mmoja ame2ma kama ishirin peke yake cjui arifikiri mwenye nying ndo atashinda,ni dada mmoja amejitambulisha kwa jina la lizzy.lakn nmem-disqualify kutokana na ukwel kwamba ameandika kiingereza kibovu sana hivo na hc huyu co mkaskazn bali sh is from india!

duh....
 
Lizzy naomba unitumie PM nataka niangalie kama PM zangu zinafanya kazi
 
We Ksokso naona umekua kama Jafarhymes...kukosa imekua tabu..unaanza kunipakazia!
 
Back
Top Bottom