Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

lHIVI KUANZIA LINI WAKASKAZN WAKAWA NA UTANI NA WAKUSINI? maana ckuelewi lizzy.KWANZA NI BORA 2PGE KURA YA MAON TUJITENGE TU,WAKUSIN WAWE KUSINI NA WALE WA KASKAZN WAWE HUKOHUKO!
Kheee Kheeee Kheeee
 
Mtafute yule Mage wa kwenye ile thread nyingine anayetafuta Mume, naamini mtaelewana tu maana shida zenu zinafanana, au bofya hapa
 
Mtafute yule Mage wa kwenye ile thread nyingine anayetafuta Mume, naamini mtaelewana tu maana shida zenu zinafanana
Cha ajabu Mage naye ali-comment kwenye hii thread kabla hajaanzisha ya kwake khee kheee kheee
 
Naogopa wa kaskazn kwan hawakawii kukugeuza "raw material"
 
lHIVI KUANZIA LINI WAKASKAZN WAKAWA NA UTANI NA WAKUSINI? maana ckuelewi lizzy.KWANZA NI BORA 2PGE KURA YA MAON TUJITENGE TU,WAKUSIN WAWE KUSINI NA WALE WA KASKAZN WAWE HUKOHUKO!

Wala hatuna utani ndo maana sijacheka!
 
Naogopa wa kaskazn kwan hawakawii kukugeuza "raw material"
dah! hii ni shutma nzito. mkuu taratibu invizibo wenyewe habari zisizo rasmi zinasema anatokea North, usje ukapigwa ban for geographical calling
 
Cha ajabu Mage naye ali-comment kwenye hii thread kabla hajaanzisha ya kwake khee kheee kheee

Mage kijografia kimemkwaza ila nmempa special offer anaweza aka2ma tu ma application
 
kwa ninavyomuelewa lizzy anasubiri ushauri wa michelle na michelle wenyewe bomu. dah! imekula kwa lizzy semester hii
Ushauri nimeshapokea!Kipaumbele anapewa V ila kuna B nae ana nafasi!
 
dah! hii ni shutma nzito. mkuu taratibu invizibo wenyewe habari zisizo rasmi zinasema anatokea North, usje ukapigwa ban for geographical calling
Halafu mbona jamaa hatupi fidibaki yaani sredi imefika page ya kumi hamna fidibaki hata moja
 
Cha ajabu Mage naye ali-comment kwenye hii thread kabla hajaanzisha ya kwake khee kheee kheee

Ningekua NECTA ningechakachua majibu yake ya chuo!
dah waheshimiwa nalog out na sitoonekana kwa muda mref kidogo hapa JF. yoyote atakaeniulizia mwambieni sijafariki bana nitarejea.

all ze best. lidumu JF na Invizibo
 
dah! hii ni shutma nzito. mkuu taratibu invizibo wenyewe habari zisizo rasmi zinasema anatokea North, usje ukapigwa ban for geographical calling

oooh! let m b kimya asije akankaskazisha kweli
 
dah waheshimiwa nalog out na sitoonekana kwa muda mref kidogo hapa JF. yoyote atakaeniulizia mwambieni sijafariki bana nitarejea.

all ze best. lidumu JF na Invizibo
Ankal mwalimu wako mkuu amerudi ndio maana umekimbia fasta Khee Kheee kheeee
 
Back
Top Bottom