Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

Hashy promise not to hurt me......in front of everyone......

The promises that I've made
have never meant as much as this
It's set in stone, the road is laid.
Promised with words, sealed with a kiss

I promise to be with you
to face every moment as one
I know this is real, I know this is true
We can't turn back now, the damage is done
 
mimi acha nikaanzishe sredi la michango ya harusi. acha tuwasiliane na uporoto atayarishe mbege

Dah Michelle kaanguka kwa mikono na miguu!!!
Mi naomba niwe mweka hazina wa vikao vya harusi:coffee:
 
I HAVE ACCEPTED YOU.......
I promise to be loyal,faithful,honest,caring and to always support you no matter what....
I love you!
 
mimi acha nikaanzishe sredi la michango ya harusi. acha tuwasiliane na uporoto atayarishe mbege

haya kuna sredi la jamaa mtoto wake mwizi hebu kampe ushauri utuache tu lavidiane huku huchelewi wewe!
 
Dah Michelle kaanguka kwa mikono na miguu!!!
Mi naomba niwe mweka hazina wa vikao vya harusi:coffee:

Wewe ndo mweka hazina mama mchungaji....hatutaki wizi wa michango tunakuamini wewe tu.......
 
« Previous Topic | Next Topic »
Topic Information

Users Browsing this Topic

There are currently 20 users browsing this thread. (8 members and 12 guests)

dah! huyo mdada kwenye red sjui kwanini nikiona jina lake najiskia amani sana katika moyo wangu.

Hi Kloro!! Mimi niko hapa nafurahia maongezi haya...🙂 yaani nyie watu mnafurahisha haswa!!!.... jamaa kaanzisha sredi lake la kutafuta mke....nyie mmeendelea kujiunganisha wenyewe.....🙂
 
I HAVE ACCEPTED YOU.......
I promise to be loyal,faithful,honest,caring and to always support you no matter what....
I love you!

kwetu hatuna historia ya magonjwa ya moyo....mbona mapigo yangu ni 4 times per second?
 
Hi Kloro!! Mimi niko hapa nafurahia maongezi haya...🙂 yaani nyie watu mnafurahisha haswa!!!.... jamaa kaanzisha sredi lake la kutafuta mke....nyie mmeendelea kujiunganisha wenyewe.....🙂

Keren.....long time my dear.....how are you???
Tunamfundisha mwenye thread namna mambo yaendavyo hadi kufikia ndoa.....vikwazo,vishawishi lakini mwisho kuna ushindi kama nia na dhamira zenu zinafanana........Kama kuna mtu ana nia na huyu kaka,akisoma pale juu tu atam-PM......:coffee:
 
There is a say that "there is so many women but few wives"SO i need one from these few jamani!
My introduction-Naitwa john miaka 25,nipo mwaka wa tatu chuo cha mlimani UDSM,kabila langu ni mhee a.k.a kitukuu cha Mkwawa,urefu wangu ni 5.8",si mweupe,si mweusi sitajiri si masikini,
sifa za yule nimtakae-Awe tayari kujuana kitabia kabla ya kuingia kwenye rasmi kwenye mapenzi,awe mvumilivu,mwenye akili ya kujitegemea,awe na mtizamo wa mbele,asiwe wa kutoka kaskazini(samahani)!awe na umri kati ya miaka 20-23,awe natura,Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe mkarimu,sura sio ishu,nikimpata aliyekwisha wahi kuumizwa moyo ana nafasi kubwa sana maana nahisi atatulia.
Mawasiliano:Ningependa anitumie email kwanza ndipo nitamtumia namba ya simu kwani siwezi kuidisplay hapa.E-mail yangu ni feyz18@yahoo.com
NOT JOKE......PLIZ BE SERIOUS

Kuna mnugu napiga nae boksi huku ughaibuni anataka mwanaume wa kibongo. Je uko tayari kwa kuoa demu wa kinugu?
 
Keren.....long time my dear.....how are you???
Tunamfundisha mwenye thread namna mambo yaendavyo hadi kufikia ndoa.....vikwazo,vishawishi lakini mwisho kuna ushindi kama nia na dhamira zenu zinafanana........Kama kuna mtu ana nia na huyu kaka,akisoma pale juu tu atam-PM......:coffee:

Hi Michelle!.... majukumu yalibana kidogo ndo maani nilipotea! Otherwize Iam good, thanks.
 
Hi Kloro!! Mimi niko hapa nafurahia maongezi haya...🙂 yaani nyie watu mnafurahisha haswa!!!.... jamaa kaanzisha sredi lake la kutafuta mke....nyie mmeendelea kujiunganisha wenyewe.....🙂
yote kasababisha michelle. yaani huyu michelle mtukutu sana walahi
 
haya kuna sredi la jamaa mtoto wake mwizi hebu kampe ushauri utuache tu lavidiane huku huchelewi wewe!
nathibitisha kwamba hilo tatizo halihusiani kabisa na DNA. awasiliane na polisi haraka
 
ni hasira zinaongea au ni Kloro ninayemjua au una interest huko unakojitetea.....l.o.l
jana usiku nilikaa na kufikiria nikagundua kwamba wanaume waaminifu hapa maeneo ya morogoro tupo wachache sana. tugombanieni jamani.
 
jana usiku nilikaa na kufikiria nikagundua kwamba wanaume waaminifu hapa maeneo ya morogoro tupo wachache sana. tugombanieni jamani.

Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa,kazi ipo,tugombanie wenye hela na waaminifu pia???umesikiwa,endelea kufikiria,utagundua mengi mwaka huu...........:laugh::laugh:
 
Back
Top Bottom