Hashy promise not to hurt me......in front of everyone......
mimi acha nikaanzishe sredi la michango ya harusi. acha tuwasiliane na uporoto atayarishe mbege
The promises that I've made
have never meant as much as this
It's set in stone, the road is laid.
Promised with words, sealed with a kiss
I promise to be with you
to face every moment as one
I know this is real, I know this is true
We can't turn back now, the damage is done
mimi acha nikaanzishe sredi la michango ya harusi. acha tuwasiliane na uporoto atayarishe mbege
Dah Michelle kaanguka kwa mikono na miguu!!!
Mi naomba niwe mweka hazina wa vikao vya harusi:coffee:
« Previous Topic | Next Topic »
Topic Information
Users Browsing this Topic
There are currently 20 users browsing this thread. (8 members and 12 guests)
- klorokwini
- Michelle
- hashycool+
- Lizzy
- Keren_happuch
- Wakuchakachua
- Kituku
- pcman
dah! huyo mdada kwenye red sjui kwanini nikiona jina lake najiskia amani sana katika moyo wangu.
I HAVE ACCEPTED YOU.......
I promise to be loyal,faithful,honest,caring and to always support you no matter what....
I love you!
Hi Kloro!! Mimi niko hapa nafurahia maongezi haya...🙂 yaani nyie watu mnafurahisha haswa!!!.... jamaa kaanzisha sredi lake la kutafuta mke....nyie mmeendelea kujiunganisha wenyewe.....🙂
kwetu hatuna historia ya magonjwa ya moyo....mbona mapigo yangu ni 4 times per second?
There is a say that "there is so many women but few wives"SO i need one from these few jamani!
My introduction-Naitwa john miaka 25,nipo mwaka wa tatu chuo cha mlimani UDSM,kabila langu ni mhee a.k.a kitukuu cha Mkwawa,urefu wangu ni 5.8",si mweupe,si mweusi sitajiri si masikini,
sifa za yule nimtakae-Awe tayari kujuana kitabia kabla ya kuingia kwenye rasmi kwenye mapenzi,awe mvumilivu,mwenye akili ya kujitegemea,awe na mtizamo wa mbele,asiwe wa kutoka kaskazini(samahani)!awe na umri kati ya miaka 20-23,awe natura,Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe mkarimu,sura sio ishu,nikimpata aliyekwisha wahi kuumizwa moyo ana nafasi kubwa sana maana nahisi atatulia.
Mawasiliano:Ningependa anitumie email kwanza ndipo nitamtumia namba ya simu kwani siwezi kuidisplay hapa.E-mail yangu ni feyz18@yahoo.com
NOT JOKE......PLIZ BE SERIOUS
Keren.....long time my dear.....how are you???
Tunamfundisha mwenye thread namna mambo yaendavyo hadi kufikia ndoa.....vikwazo,vishawishi lakini mwisho kuna ushindi kama nia na dhamira zenu zinafanana........Kama kuna mtu ana nia na huyu kaka,akisoma pale juu tu atam-PM......:coffee:
Hi Michelle!.... majukumu yalibana kidogo ndo maani nilipotea! Otherwize Iam good, thanks.
yote kasababisha michelle. yaani huyu michelle mtukutu sana walahiHi Kloro!! Mimi niko hapa nafurahia maongezi haya...🙂 yaani nyie watu mnafurahisha haswa!!!.... jamaa kaanzisha sredi lake la kutafuta mke....nyie mmeendelea kujiunganisha wenyewe.....🙂
yote kasababisha michelle. yaani huyu michelle mtukutu sana walahi
nathibitisha kwamba hilo tatizo halihusiani kabisa na DNA. awasiliane na polisi harakahaya kuna sredi la jamaa mtoto wake mwizi hebu kampe ushauri utuache tu lavidiane huku huchelewi wewe!
nathibitisha kwamba hilo tatizo halihusiani kabisa na DNA. awasiliane na polisi haraka
jana usiku nilikaa na kufikiria nikagundua kwamba wanaume waaminifu hapa maeneo ya morogoro tupo wachache sana. tugombanieni jamani.ni hasira zinaongea au ni Kloro ninayemjua au una interest huko unakojitetea.....l.o.l
jana usiku nilikaa na kufikiria nikagundua kwamba wanaume waaminifu hapa maeneo ya morogoro tupo wachache sana. tugombanieni jamani.