NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Yes nimeahi sikia kwamba kuna watu wamepiga mshindo kwenye betting lakini hao watu ni nadra sana wanaweza kuwa katika kipimo cha mtu 1 kati 100 ya wale wanaobeti.
Ili kitu kiwe na uhakika wa kitu flani kuweza kuendesha maisha ya mtu kiuchumi basi walau huwa kuna kipimo angalau hata watu wawili kati ya 10 ya watu wanakifanya wanaendesha maisha yao kwa kukitegemea
Je katika makundi ya kila vijana 10 wanaobeti kunaweza kuwa na vijana hata wawili wanaoweza kuendesha maisha kwa betting