Umemaliza kila kitu, kwahiyo wanaweza.Kwa jinsi wengi wanavyostake, Tsh.500 hadi 1000 kwa odds 20 hadi 5000 ni ngumu sana betting kumpa mtu maisha ya kila siku.
Wale wanaoweka 2odds hadi 5odds kwa Tsh.100,000 au zaidi ni rahisi sana kuona wanachokifanya.
Mm hap.[emoji41]Hv mshawahi ona mtu ameweza au anaendesha .maisha yake kwa kubeti tu binafsi ningekua nategemea betting ndio nipate hela ya kula Basi ningekua nishakufa na njaa zamani tu hii mishe n noma adi odds 1.03 ya goal au option yoyote inachana Tena vizuri tu kwa upande wenu vp ushawahi ona mtu anatusua kwa kubet