Service ya kufanya kwa ajili ya masafa marefu

30 psi mbele Kwa 35 psi nyuma. (30/35).
Ubarikiwe sana boss

Kwenye matairi kuna suala zima kubalance upepo

Wengine wananiambia upepo wa tairi za mbele uwe mdogo kuliko upepo wa tairi za nyuma ,je kuna ukweli hapa?

Na ni upepo kiasi gani unaotakiwa kwa tairi za mbele na tair za nyuma ni upepo kiasi gani?
 
Mbeya to Dar ni mbali.....hivyo mwaga engine oil na uweke oil filter genuine...achana na zile za buku 3..

Puliza air filter.

Fanya wheel alignment

Zingatia upepo wa tairi zako 30 psi mbele na nyuma 35. Na tairi zako ziwe nzima.

Hakikisha radiator haivuji..

Beba maji ya akiba angalau Lita 10....SAFARI NI SAFARI

Hakikisha maji ya kuoshea kioo yamejaa kwenye kimtungi chake.

Hakikisha wipers zinafanya kazi vizuri...njiani kunaweza kukawa na mvua baadhi ya maeneo.

Triangle,fire extinguisher, sticker ya bima na sticker ya nenda kwa usalama viwepo up to date.

Hakikisha una spana muhimu kama vile wheel spqnner na plug spanner.....huwezi kujua ni pori lipi utapata pancha au plug itakufa..

Kuwa na angalau spark plugs mbili za spea.

Hakikisha taa zote zinawaka vizuri.

Osha gari lako vizuri liwe na muonekano wake halisi...

HAYO NI MAANDALIZI KABLDA YA SAFARI[emoji115][emoji115]

UKIANZA SAFARI NA UTAKAPOKUWA SAFARINI[emoji116][emoji116][emoji116]
Weka mpango wa muda wa kuondoka, utasimama wapi kupumzika na kula na unatajia kufika saa ngapi

Sali kulingana na imani yako ili Mungu aibariki safari yako.

Hakikisha wote mnafunga mkanda.

Zingatia alama zote za barabarani....vivuko, 50kph na kadhalika.

Kumbuka, safarini kuna magari mengi yanayoelekea uelekeo mmoja ila hamfahamiani....hivyo epuka kufukizana na mtu aliyekupita kwanza hamjui, pili hujui katoka wapi na anaenda wapi, tatu speed yake hujui amelewa au anawahisha mgonjwa, nne kila mtu barabarani ana safari yake hivyo heshimu safari yako.

Acha ligi za kukimbiza magari yenye uwezo kuliko lako mf V8,Subaru na kadhalika.

Usimpe lifti mtu usiyemjua....ni hatqri sana...wanadamu leo hii tumebadilika.

Kuwa makini kukaa umbali angalau wa Mita 50 kutoka gari lililopo mbele yako....hii itakusaidia kujitetea endapo atafunga breki za ghafla.

Usiovertake kwenye blind spot areas....
REMEMBER YOU HAVE THE WHOLE FAMILY WITH YOU.

Kwenye Mpesa uwe na angalau 50k za dharura ya miamala endapo itahitajika na kwenye wallet uwe na angalau 50k ya dharura ya cash endapo itajitokeza.....hii balance ya pesa ni nje y ile bajeti yako ya kula njiani..

Nakutakia safari njema bosi...Ukifika hapo mikumi kuna jamaa yangu atakupa kqmzigo flani, then ukifika Dar kapakie kwenye Dar Express nitakapoke Arusha[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kumbuka, safarini kuna magari mengi yanayoelekea uelekeo mmoja ila hamfahamiani....hivyo epuka kufukizana na mtu aliyekupia kwanza hamjui, pili hujui katoka wapi na anaenda wapi, tatu speed yake hujui amelewa au anawahisha mgonjwa, nne kilq mtu barabarani ana safari yake hivyo heshimu safari yako.

Kiongozi ubarikiwe saaaana...
 
Ha ha ha ha kwa huo ushaur ulioutoa mie ntagharamia kusafirsha mzigo kutoka dar kwenda arusha.
Ushauri safi uliokamilika kama ana line mbili tgo au voda zote aweke hela.

Kama hujawahi masafa marefu kuwa makini
Mkuu huu ushauri ni wa muhimu sana japo una maneno machache,
Kama hujawahi kwenda hata morogoro,ni vema ukawa na dereva
hata kama kwenye hao unaoambatana nao mmoja ni dereva
itakuwa vizuri,kuna wakati nilichoka nilitaka kuacha gari Dodoma nikiwa naenda singida.
Niliumwa shingo balaa.
Usishindane na gari linalotaka kukupita,acha liende.
 
Baada ya kumwaga oil na kubadilisha oil filter inafaa zaidi ukibadilisha air filter.
Pia Fanya wheel alignment (hii ni muhimu mno tena Sana) na kama fan belt imechoka badilisha....
Ukiwa safarini jitahidi kuacha papara za hapa na pale usipende league na akina Subaru au crown utapasua engine yako
+brevis
 
Asante mkuu,ntacheki
Uwe makini na basi linalokuwa mbele yako, liache kwa umbali sababu kuna naadhi ya abiria wanakula vyakula kwenye mabasi yakiwa barabarani yakitembea na wakimaliza kula wanatupa nje kupitia dirishani, na kama kuna kitu kizito kinaweza kuangukia kwenye kioo cha gari lako na kukiharibu, ukipata upenyo basi yapite hayo mabasi.

Pia kuwa makini kwa malori na mabasi yenye tairi 2 nyuma kwa kila upande, angalia kama hakuna jiwe katikati ya hizo tairi wakati ukiwa nyuma ya hayo magari.
 
Mbeya to Dar ni mbali.....hivyo mwaga engine oil na uweke oil filter genuine...achana na zile za buku 3..

Puliza air filter.

Fanya wheel alignment

Zingatia upepo wa tairi zako 30 psi mbele na nyuma 35. Na tairi zako ziwe nzima.

Hakikisha radiator haivuji..

Beba maji ya akiba angalau Lita 10....SAFARI NI SAFARI

Hakikisha maji ya kuoshea kioo yamejaa kwenye kimtungi chake.

Hakikisha wipers zinafanya kazi vizuri...njiani kunaweza kukawa na mvua baadhi ya maeneo.

Triangle,fire extinguisher, sticker ya bima na sticker ya nenda kwa usalama viwepo up to date.

Hakikisha una spana muhimu kama vile wheel spqnner na plug spanner.....huwezi kujua ni pori lipi utapata pancha au plug itakufa..

Kuwa na angalau spark plugs mbili za spea.

Hakikisha taa zote zinawaka vizuri.

Osha gari lako vizuri liwe na muonekano wake halisi...

HAYO NI MAANDALIZI KABLDA YA SAFARI[emoji115][emoji115]

UKIANZA SAFARI NA UTAKAPOKUWA SAFARINI[emoji116][emoji116][emoji116]
Weka mpango wa muda wa kuondoka, utasimama wapi kupumzika na kula na unatajia kufika saa ngapi

Sali kulingana na imani yako ili Mungu aibariki safari yako.

Hakikisha wote mnafunga mkanda.

Zingatia alama zote za barabarani....vivuko, 50kph na kadhalika.

Kumbuka, safarini kuna magari mengi yanayoelekea uelekeo mmoja ila hamfahamiani....hivyo epuka kufukizana na mtu aliyekupita kwanza hamjui, pili hujui katoka wapi na anaenda wapi, tatu speed yake hujui amelewa au anawahisha mgonjwa, nne kila mtu barabarani ana safari yake hivyo heshimu safari yako.

Acha ligi za kukimbiza magari yenye uwezo kuliko lako mf V8,Subaru na kadhalika.

Usimpe lifti mtu usiyemjua....ni hatqri sana...wanadamu leo hii tumebadilika.

Kuwa makini kukaa umbali angalau wa Mita 50 kutoka gari lililopo mbele yako....hii itakusaidia kujitetea endapo atafunga breki za ghafla.

Usiovertake kwenye blind spot areas....
REMEMBER YOU HAVE THE WHOLE FAMILY WITH YOU.

Kwenye Mpesa uwe na angalau 50k za dharura ya miamala endapo itahitajika na kwenye wallet uwe na angalau 50k ya dharura ya cash endapo itajitokeza.....hii balance ya pesa ni nje y ile bajeti yako ya kula njiani..

Nakutakia safari njema bosi...Ukifika hapo mikumi kuna jamaa yangu atakupa kqmzigo flani, then ukifika Dar kapakie kwenye Dar Express nitakapoke Arusha[emoji41][emoji41][emoji41]
Ushauri mzuri sana umejumuisha mambo mengi sana muhimu
 
Wakuu poleni na pilika za kutafuta tonge la kila siku

Wiki mbili zijazo natarajia kusafiri mimi na familia yangu kwa kutumia usafiri binafsi

safari ni kutoka mbeya kuja Dar

Lengo la kufungua uzi huu ni kuomba ushauri kwenu,ni servise gani hasa natakiwa kufanya ili niweze kusafiri salama na ki ISt changu?

Maana binafsi servise nilizozoea ni zile za kumwaga oil tu na kubadili filter.

Nini nikifanye hasa kwenye gari langu ili kuliweka katika hali salama ya kusafiri nalo?

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Mafundi Watakapo kuwa wanafanya services akikisha umesimamia. Mi mwaka jana nilikuwa nasafiri naenda Mbeya nilipeleka gari services. Kumbe fundi ni muhuni akuweka Gear box oil ya kutosha na Mimi ata sikuangalia kujiridhisha nikaanza safari tu. Nilikaanga gear box maeneo ya Igurusi
 
Mimi nasema weka tairi mpya.
Tembea na jeki.
Tembea na spana inayozifungua na kuzifunga vizuri nati zako.

Kuna balaa lilinipata nilisafiri na IST haina jeki, spana, wala tairi la akiba. Nilienda kukwama kijiji fulani hivi nyuma ya Ruaha Mbuyuni na kilometa 15+ baada ya Mikumi. Jina limenitoka.

Ila hapo hakuna netwek siyo ya simu tu hata ya redio. Safari ya kutoka Dar kwenda Mbeya nilitumia siku 2 na nusu badala ya saa 10.
Matairi jambo la msingi sana chief.

PS. Jf inadhalilisha mno wenye baby walker hadi mtu anaandika 'Ki IST changu' badala ya 'IST yangu'

Pia mi sina gari nilikua dereva tu
Kwanini ulisafiri bila jeki? Kuna gari za kisasa huwa haziji na spare tyres wala jack zina tyre repair kit. Mfano VW, BMW na Toyota Vanguard. Lakini kibongobongo fanya juu chini upate spare tyre na jeki mazingira yetu hayasupport hayo mambo ya kutembea bila jack wala spare tyre
 
Mafundi Watakapo kuwa wanafanya services akikisha umesimamia. Mi mwaka jana nilikuwa nasafiri naenda Mbeya nilipeleka gari services. Kumbe fundi ni muhuni akuweka Gear box oil ya kutosha na Mimi ata sikuangalia kujiridhisha nikaanza safari tu. Nilikaanga gear box maeneo ya Igurusi
Pole sana
 
Ila kuna migari safari ikifika unaliamsha tu,yaani limekaa kusafirisafiri tu.
 
Baada ya kumwaga oil na kubadilisha oil filter inafaa zaidi ukibadilisha air filter.
Pia Fanya wheel alignment (hii ni muhimu mno tena Sana) na kama fan belt imechoka badilisha....
Ukiwa safarini jitahidi kuacha papara za hapa na pale usipende league na akina Subaru au crown utapasua engine yako
Hawa wenye IST wanapenda sana ligi
 
Back
Top Bottom