Service ya kufanya kwa ajili ya masafa marefu

Service ya kufanya kwa ajili ya masafa marefu

Mafundi Watakapo kuwa wanafanya services akikisha umesimamia. Mi mwaka jana nilikuwa nasafiri naenda Mbeya nilipeleka gari services. Kumbe fundi ni muhuni akuweka Gear box oil ya kutosha na Mimi ata sikuangalia kujiridhisha nikaanza safari tu. Nilikaanga gear box maeneo ya Igurusi
Vipi baada ya kuiivisha uliila na chips au ndizi choma mkuu?
 
Cha muhimu sana nachoona ni hali ya tyres na wheel alignment vifanyiwe kazi. Kuwe na Spare Tyre na tools za kubadilishia.

Basics; Ni taa, Kumwaga Oil, Fan belt kwa gari za kizamani maana za kisasa zina timming chain.
 
Check tyres.kama Hicho ulichoita Ki Ist ckako kilikuja na tyre badilisha hizo.hazitafika hata makambako.

uwe unajua angalau kubadilisha tyre.
beba coolant,break fuel na hydraulic kwa ajili ya emergence

Angalia betri kama ni nzima(hasa hiz dry cell)

kagua break pads,kagua gearbox oil(kama vipi badilisha).engine oil pia badilisha

Mwisho endesha kwa ustaarabu ustake kushindana shindana barabarani.

Halafu mwisho.epuka kuaga aga kwa kila mtu .wengine wanaroho mbaya sana.yaani acha zile sifa za wanyakyusa wa kyela.

over!
 
Hahahaha weweeeeee jamaaa
 
Ubarikiwe sana boss

Kwenye matairi kuna suala zima kubalance upepo

Wengine wananiambia upepo wa tairi za mbele uwe mdogo kuliko upepo wa tairi za nyuma ,je kuna ukweli hapa?

Na ni upepo kiasi gani unaotakiwa kwa tairi za mbele na tair za nyuma ni upepo kiasi gani?

Swala la upepo fuata ushauri wa waweka upepo, angalizo lingine kabla ujabeba familia mwenyewe asubuhi pitia bolt zote kama zimekaza, na half way pia! Mi sijui kuna siku nafikiri mtu Alinilegezea karibu tudanje wote
 
Kwanini ulisafiri bila jeki? Kuna gari za kisasa huwa haziji na spare tyres wala jack zina tyre repair kit. Mfano VW, BMW na Toyota Vanguard. Lakini kibongobongo fanya juu chini upate spare tyre na jeki mazingira yetu hayasupport hayo mambo ya kutembea bila jack wala spare tyre
Chief hiyo safari nilishtukizwa na braza akataka kunipa uzoefu. Balaa lililotukuta ndiyo la kukwama Iyovi zaidi ya saa nne.
 
Zile mashine 90% ni Manual shifters.
Hivi Lx zina auto zake?nilizokutana nazo mimi hapa town so far zote ni Manual trans..

Kununua Lx auto(kama zipo lkn) hio ni matumizi mabaya ya pesa, ni kama vile kuamua kununua gari za mambio kama Subaru impreza/forester STI auto au Golf Gti auto hapo ni kuchezea pesa kiaina.

Ni mtizamo wangu tu mazee.
 
Ukiona LX automatic ujue labda ilikuwa special edition.

Back
Top Bottom