Check tyres.kama Hicho ulichoita Ki Ist ckako kilikuja na tyre badilisha hizo.hazitafika hata makambako.
uwe unajua angalau kubadilisha tyre.
beba coolant,break fuel na hydraulic kwa ajili ya emergence
Angalia betri kama ni nzima(hasa hiz dry cell)
kagua break pads,kagua gearbox oil(kama vipi badilisha).engine oil pia badilisha
Mwisho endesha kwa ustaarabu ustake kushindana shindana barabarani.
Halafu mwisho.epuka kuaga aga kwa kila mtu .wengine wanaroho mbaya sana.yaani acha zile sifa za wanyakyusa wa kyela.
over!