Service ya kufanya kwa ajili ya masafa marefu

Vipi baada ya kuiivisha uliila na chips au ndizi choma mkuu?
 
Cha muhimu sana nachoona ni hali ya tyres na wheel alignment vifanyiwe kazi. Kuwe na Spare Tyre na tools za kubadilishia.

Basics; Ni taa, Kumwaga Oil, Fan belt kwa gari za kizamani maana za kisasa zina timming chain.
 
Check tyres.kama Hicho ulichoita Ki Ist ckako kilikuja na tyre badilisha hizo.hazitafika hata makambako.

uwe unajua angalau kubadilisha tyre.
beba coolant,break fuel na hydraulic kwa ajili ya emergence

Angalia betri kama ni nzima(hasa hiz dry cell)

kagua break pads,kagua gearbox oil(kama vipi badilisha).engine oil pia badilisha

Mwisho endesha kwa ustaarabu ustake kushindana shindana barabarani.

Halafu mwisho.epuka kuaga aga kwa kila mtu .wengine wanaroho mbaya sana.yaani acha zile sifa za wanyakyusa wa kyela.

over!
 
Hahahaha weweeeeee jamaaa
 

Swala la upepo fuata ushauri wa waweka upepo, angalizo lingine kabla ujabeba familia mwenyewe asubuhi pitia bolt zote kama zimekaza, na half way pia! Mi sijui kuna siku nafikiri mtu Alinilegezea karibu tudanje wote
 
Chief hiyo safari nilishtukizwa na braza akataka kunipa uzoefu. Balaa lililotukuta ndiyo la kukwama Iyovi zaidi ya saa nne.
 
Zile mashine 90% ni Manual shifters.
Hivi Lx zina auto zake?nilizokutana nazo mimi hapa town so far zote ni Manual trans..

Kununua Lx auto(kama zipo lkn) hio ni matumizi mabaya ya pesa, ni kama vile kuamua kununua gari za mambio kama Subaru impreza/forester STI auto au Golf Gti auto hapo ni kuchezea pesa kiaina.

Ni mtizamo wangu tu mazee.
 
Ukiona LX automatic ujue labda ilikuwa special edition.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…