Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wale ilitakiwa watungwe sumu tu wakitoka hapo wakafie mbele hukoHii nchi inahitaji mabadiliko ya kweli ya kisiasa! Hizi sarakasi sasa zimekuwa too much!
Kwamba Mzee yupo nyuma ya hiliSeth na Rugemalila ni watu wa JK
Hatari sana.Tunaanzia tulipoishia
Hapa sasa Lisu anakenua meno yote kwa furahaSeth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile.
Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.
Ndio, ila ni kwenye mahakama zilizokuwa zimepoteza weledi.Huyu si ali plead guilty?
Wale ilitakiwa watungwe sumu tu wakitoka hapo wakafie mbele huko
Sethi ana haki zote za iptl, serikali itamrudishia na kumlipa fidia yote kama itakvyoamuliwa na mahakama na tutatumia pesa za tozo kumlipa. Shida iko wapi?Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile.
Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.