Tetesi: Seth wa IPTL kuishtaki Serikali ya Tanzania akitaka arejeshewe umiliki wa IPTL

Tetesi: Seth wa IPTL kuishtaki Serikali ya Tanzania akitaka arejeshewe umiliki wa IPTL

Mataqo yako, jiwe ameharibu mentality zenu, kwahiyo kuwapiga risasi ndio sheria inataka hivyo, jiwe ameitia nchi hasara
Dawa ya watu kama hawa ni risasi tu, maana wana vimisukule vyao vipo nyuma yao siku zote na moja wapo wa kimsukule ni wewe
 
Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile.

Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.
Kuna watu hawajisikii raha bila kufungwa jela , kazoea jela Sasa subiri na Punjab zako
 
Tumekwisha..Bado manji..nae aje kudai fidia
310675834_3354984011404551_6941464124907953800_n.jpg
 
Hawa wazee watulie maana wamesha tafuna hii nchi vya kutosha na bado wako hai!
Pumbaf zao walahi [emoji35]
Mijitu mizima ovyooooooo [emoji2959]
 
Matahira ya jiwe yanamlaumu mama,wakati jiwe ndio chanzo Cha yote na kukurupuka kwake bila kutumia akili na sheria, Kuna wengi wataifungulia serikali kesi ambao walizurumiwa na jiwe na kupewa kesi,

Wengi Sana,ni suala la muda tu
Hata ukitumia sheria Kuna kukata rufaa ujue
 
Back
Top Bottom