Tetesi: Seth wa IPTL kuishtaki Serikali ya Tanzania akitaka arejeshewe umiliki wa IPTL

Hii kitaalamu tunasema,"Back to square one under Ntu Kati"
Akicheka Nchale, Ukinyamaza Nchale, Ukilia Nchale,Ukinuna Nchale na Ukikimbia Nchale!
Wadanganyika Twafwaaa!
 
Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile.

Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.
 
Attachments

  • 50234306-5F8A-49DE-870E-464004CDF07B.jpeg
    50234306-5F8A-49DE-870E-464004CDF07B.jpeg
    32.5 KB · Views: 3
Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile.

Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.
Jiwe alikurupuka Sana
 
Jiwe ametuletea hasara sana!
Matahira ya jiwe yanamlaumu mama,wakati jiwe ndio chanzo Cha yote na kukurupuka kwake bila kutumia akili na sheria, Kuna wengi wataifungulia serikali kesi ambao walizurumiwa na jiwe na kupewa kesi,

Wengi Sana,ni suala la muda tu
 
Kama mlivyokuwa mnaua wengine kipindi cha dhalimu? Hawa wote ni matokeo ya wizi wa CCM, kwanini tusiotoe CCM madarakani?
Unamtoa ccm kisha unamuweka nani?
 
Matahira ya jiwe yanamlaumu mama,wakati jiwe ndio chanzo Cha yote na kukurupuka kwake bila kutumia akili na sheria, Kuna wengi wataifungulia serikali kesi ambao walizurumiwa na jiwe na kupewa kesi,

Wengi Sana,ni suala la muda tu
Mataahira ya mama ndio yanaona jiwe alileta hasara!

Sikia dogo! Jiwe ndio alitaka kututoa huko kwenye hizo hasara ila nyie mataahira mkagoma kutoka huko!

Kiufupi hao kina seth walikuwa wakupigwa risasi wafe tu kuliko kuendelea na huu upumbavu.
 
Ngoja nisome comment

Sukuma gang vs CCM vs Wana Sacco's
 
Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile.

Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.
From which source of information is this rubbish comin from!

So that's the deal behind the scenes,that Makamba & Msoga team are planning on!

Huh.....
 
Back
Top Bottom