Tetesi: Seth wa IPTL kuishtaki Serikali ya Tanzania akitaka arejeshewe umiliki wa IPTL

Tetesi: Seth wa IPTL kuishtaki Serikali ya Tanzania akitaka arejeshewe umiliki wa IPTL

Matahira ya jiwe yanamlaumu mama,wakati jiwe ndio chanzo Cha yote na kukurupuka kwake bila kutumia akili na sheria, Kuna wengi wataifungulia serikali kesi ambao walizurumiwa na jiwe na kupewa kesi,

Wengi Sana,ni suala la muda tu
Kwahiyo walipo plead guilty wakatoka mahakamani wizuiwa kufungua kesi? Ni nchi ya deal tu.
 
Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile.

Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.
Hii kesi inataka kutengenezwa na wajanja
 
Back
Top Bottom