Sevilla ipo nafasi ya 11 la Liga ila bingwa wa Europa mnahoji nini?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Wale mnaosema inakuwaje timu ya shirikisho ipo nafasi ya 10 ila kawa bingwa

VIP kuhusu SEVILA ambaye yupo nafas ya 11 lakn n bingwa wa Europa?

Tukubaliane tu kuwa YANGA msimu huu ipo vizuri imejipanga kushinda nyie mliocheza miaka yote na kuishia robo

Yanga inajua kucheza mashindano ya mtoano

Tuipe heshima yake na Jana imeonesha ukubwa wake hebu nikumbusheni n mwaka gan Simba iloshinda ardhi ya mwarabu?
 
Ndio maana ikaitwa FUTUHI na hili la huku likaitwa LOSERS au COMEDY SHOW[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Tuambie lini bingwa wa UCL au CAFCL alitoka nje ya big5


WE HUONI LINAANZA KUCHEZWA KWANZA KUWAWEKA WATU TAYARI KWA MECHI KWELI YA FAINAL YA MABINGWA.
 
Europa League ndio kama kombe la Shirikisho huko Ulaya

Timu kubwa nyingi huwa zinaalidharau na kujitoa makusudi ili zipate muda wa kujiimarisha kwenye ligi za ndani ili kupata nafasi ya kushiriki Champions League msimu unaofuata

Mfano Barcelona, Arsenal zote ziliona ni bora zitoke Europa mapema msimu huu zijikite kwenye ligi ya ndani







 
we kweli ni matakle
 
Arsenal baada ya kufanya ivo ameambulia nni?
 
Europa League ndio kama kombe la Shirikisho huko Ulaya

Timu kubwa nyingi huwa zinaalidharau na kujitoa makusudi ili zipate muda wa kujiimarisha kwenye ligi za ndani ili kupata nafasi ya kushiriki Champions League msimu unaofuata
Kwan ukilichukua hilo kombe la shirikisho au Europa huko Ulaya msimu unaofata hushikiri champions league..?...

Daaah jaman tutumien akili kidogo tu sio lazma ucomment mda mwingine unakausha tu.
 
"Tuambie lini bingwa wa UCL au CAFCL alitoka nje ya big5"

Hujui kitu afu kwenu ww ndo kipanga kazi kwel kwel.
kwaiyo kuhoji hivi Ndo unajiona una akili,na kama huu uwezo wa kufikili unautumia pia kwenye kuvukia barabara basi jitafakari dogo
 
Akili za kitopolo hizo. HAELEWI HUYO MUELEWESHE
 
Umeandika vizuri kabisaaa
 
Rage aheshimiwe sana popote alipo, Chelsea ampomtoa Barca na kuchukua ubingwa wa UEFA dhidi ya Bayern alikuwa nafasi ya ngapi EPL ?
 
Kwan ukilichukua hilo kombe la shirikisho au Europa huko Ulaya msimu unaofata hushikiri champions league..?...

Daaah jaman tutumien akili kidogo tu sio lazma ucomment mda mwingine unakausha tu.
UEFA ndio walijaribu kufanya hivyo ili kulipa mvuto kidogo ila haijasaidia sana
Maana timu zinaona kusafiri umbali mrefu na kucheza mara mbili kwa wiki kwa ajili ya shirikisho ni ujinga

Labda zile timu ambazo hazina uhakika wa kufika top 4 ndio huwa zinakomaa ili zijipatie fursa hiyo kupitia Europa, kama Sevilla vile
 
Unakumbuka Chelsea kikombe chake Cha kwanza anachukua uefa alikuwa nafas ya ngapi?

Liverpool vs ac Milan unakumbuka Liverpool alikuwa nafas ya ngapi ?

Nadhan mpira umeanza kufuatilia juzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye soka hakuna timu inajitoa makusudi ,Arsenal huoni Saka ndani Ode hadi dakika za mwisho waliokuwa wanfosi goli kwa nguvu sasa kama makusudi si wangerahisisha kupiga pasi za nyuma.

Huoni Barca alitia full kikosi ? timu yeyote kubwa kubeba makombe mengi ni heshima hawawezi kuachia kea makusudi Never.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…