Seville Vs AS Roma | Uefa Europa League Final | Puskas Arena | 31.05.2023

Seville Vs AS Roma | Uefa Europa League Final | Puskas Arena | 31.05.2023

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Muda mchache ujao pale katika dimba la Puskas Arena jijini Budapest nchini Hungary kutapigwa mchezo wa fainali ya Europa League. Ni Sevilla Vs AS Roma

Ikumbukwe Sevilla hajawahi kufungwa pindi akiingia kwenye fainali ya Europa League wakati Mourinho naye hajawahi kufungwa mchezo wa Fainali.

Nani kuibuka na ushindi? Tukutane Saa 4:00 Usiku. Mchezo upo mubashara Chaneli 225 ya DStv

Unampa nani karata yako?
 
Wachezaji wa Sevilla wakati wa kupasha misuli moto walivaa t-shirt zenye ujumbe maalum wa kumtakia heri kipa wao wa zamani Sergio Rico aliyepo ICU baada ya kuumia wakati akiendesha farasi
18C556DB-25A1-47E0-9B0D-CF9B58074B79.jpeg
 
Back
Top Bottom