Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #21
Hapana hiyo ni kwa play storeHii app nitaipata App Store?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hiyo ni kwa play storeHii app nitaipata App Store?
Amaweka vile vichwa vya treni anaving'oa matairiMorinho akipata goli hapo fainali imeharibika kabisa 🤣🤣🤣,ataweka kontena pale nyuma
Na wanaweza wakabeba fainali zote piaItaly wanaweza kosa fainali zote.
Wajerumani mpaka walilalamika kwenye nusu fainali,Buyern Leverkusen walihangaika mpaka dk 90🤣🤣Kama ilivyo desturi yake😂😂
Hii ni fainali mzee hamna home and away, na Mourinho ni mtaalam sana wa hizi mechiHAWA SEVILA WANABEBA... WAMENIPUNGUZIA MAN U, JUVE, ROMA NI NANI ASIPUNGUZWE
Sevilla ameipiga sana UnitedMashabiki wa Man Utd leo watakuwa Roma wakitaka Sevilla ashughulikiwe🤣🤣
🤣🤣🤣Amaweka vile vichwa vya treni anaving'oa matairi
Nahitaji ya app store kama unaijua nipatieHapana hiyo ni kwa play store
Wanawezaje kosa fainali wakati mashindano yote ya UEFA msimu huu ngazi ya vilabu zinachezwa fainali VS timu kutoka Italy? Roma, Inter na FiorentinaItaly wanaweza kosa fainali zote.
Wameshawafanya kama pombe ya ngomaniSevilla ameipiga sana United
Mkuu ikiitwa tu Europa league hata aje man city anakufa kwa hawa jamaa. In short mimi kama mganga nasema hawa jamaa WAMECHANJIWAHii ni fainali mzee hamna home and away, na Mourinho ni mtaalam sana wa hizi mechi
Mbona nishakujibu hapo juuNahitaji ya app store kama unaijua nipatie