raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Napenda mpira mzuri na nitaupata kwa sevilla huyu mou huharibu sana mechi kwa kubaki nyuma muda mwingiUsimu-underrate Mourinho lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda mpira mzuri na nitaupata kwa sevilla huyu mou huharibu sana mechi kwa kubaki nyuma muda mwingiUsimu-underrate Mourinho lakini
Anapaki titanicJosé Mourinho akiwatangulia watajua hawajui ni suala la muda !!!
Hahahah yeye hucheza kwa mbinu hasa ya kupoteza mudaNapenda mpira mzuri na nitaupata kwa sevilla huyu mou huharibu sana mechi kwa kubaki nyuma muda mwingi
Mapema sana mkuuNi kweli Mou anajua sana kuzicheza fainali.Kuna mdau hapo juu kasema akikutangulia tu umekwisha.Anashusha kontena.
Na hapo sasa ndio mechi inapoteza mvutoHahahah yeye hucheza kwa mbinu hasa ya kupoteza muda
Yah ni kweli...Special one ana mbinu za kale katika soka la kisasaNa hapo sasa ndio mechi inapoteza mvuto
Bila soka la mvuto🤣Morinho kocha la makombe
Hilo jina alilojipa hana hadhi nalo tena ameshaishiwa mbinuYah ni kweli...Special one ana mbinu za kale katika soka la kisasa
No hakujipa bali alipewa na mashabiki wa ChelseaHilo jina alilojipa hana hadhi nalo tena ameshaishiwa mbinu
Ukitaka kuona goli,Roma aanze kuwekwa...Mourinho hapo hashambulii mpaka afungwe,na akipata goli jua imeisha hiyoGame za namna hii huwa hazina magoli mengi japo niko upande wa Roma kama wewe
Tunamuhitaji Mourinho UEFA champions league,aje kuharibu shereheTuko pamoja ngoja tuone kama atanyanyua kwapa
Kuna dalili ya goli?!..maana nimetia laki zipatikane goli mbiliTawireeee
Game inaendelea...32' Mechi imesimama kupisha Tammy Abraham kutibiwa