Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #81
Bado wanacheza kwa tahadhariKuna dalili ya goli?!..maana nimetia laki zipatikane goli mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wanacheza kwa tahadhariKuna dalili ya goli?!..maana nimetia laki zipatikane goli mbili
Uko sahihiiiii....Ukitaka kuona goli,Roma aanze kuwekwa...Mourinho hapo hashambulii mpaka afungwe,na akipata goli jua imeisha hiyo
Kamba hukoHapo ni dumu na mfuniko wamekutana. Tunaweza kushuhudia draw dk 90 za kawaida
I am neither a prophet nor...
Fainali ishaharibika😂😂😂Baaasi morinyo anapaki pikipiki sasa na anamtoa Dybala na Abraham
K*maamake,nshakosa hela,kombe limee da Roma hilo34' Dybalaaaaaaaaa goooooooliiiiiiiiii
Sevila 0-1 Roma
Kumekucha dadeki34' Dybalaaaaaaaaa goooooooliiiiiiiiii
Sevila 0-1 Roma
Sio la nchi hiiKumekucha dadeki
Hilo kontena litalopakiwa hapo usiombe
NimeonaKamba huko
Ulimpaje?K*maamake,nshakosa hela,kombe limee da Roma hilo
Both teams to scoreNimeona
Nimecheka sanaMuda wa kuweka vifusi vya mawe golini 😄
Ukiacha sifa zake anaelewa mechi bado hii..Jose amegoma kushangiliaaaaa🤣😂
Hapo ndo utaamua umchukie morinho au umpende MOJA KWA MOJASio la nchi hii
Mzee mpira dakika 90 lakini biashara asubuhiSevilla ni bingwa wa comeback mechi bado hii