Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Game over..........Dybala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah naelewa mkuuUkiacha sifa zake anaelewa mechi bado hii..
Hana maajabu ya kusumbua UEFA kwa hiki kikosi chake!Tunamuhitaji Mourinho UEFA champions league,aje kuharibu sherehe
Watu wafanye kazi nyingine🤣🤣Game over..........Dybala
Zipatikane goli mbili game yoteUlimpaje?
Goli lingine lipo mbona. Odds zilikuwa ngapi?Zipatikane goli mbili game yote
Morinho game hapoWatu wafanye kazi nyingine🤣🤣
Yeye ni mharibu sherehe tu,yaani Hana pa kwenda,we unahitaji ushindi uvuke,anakupakia kontena goliniHana maajabu ya kusumbua UEFA kwa hiki kikosi chake!
1.4Goli lingine lipo mbona. Odds zilikuwa ngapi?
Hii imeisha mzee40' Sevilla 0-1 Roma
Goli lipo aminiHii imeisha mzee
Fainali mbili mfululizo kwa timu yenye Madeni kibao inakombeleza tu wachejazi wa bure bure na mikopo bado unahisi kaishiwa mbinu?Hilo jina alilojipa hana hadhi nalo tena ameshaishiwa mbinu