raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Umeona kosa kosa za sevilla mechi bado hiiMkuu raraa reree bado una matumaini na wanao Sevilla?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona kosa kosa za sevilla mechi bado hiiMkuu raraa reree bado una matumaini na wanao Sevilla?
Second hafu nacheza live score Sevilla kupata goli 🤣Hahaha deposit tena
Nafikiri dakika ya 70 huko na kuendelea atafanya subMou hajafanya sub zake za Viberenge, ana watu wa counter kina El shaarawy benchi,
Kamba hukoKamba huko
bet wonGoli litapatikana, wanaweza enda matuta hawa
Katia gunduMancini mchezaji wa AS Roma anajifunga baada ya kuunganisha krosi ya Jesus Navas
Roma Ana umia kata a tuone😅
Tupo pamoja…leo Moriminyoo lazima alieRoma Ana umia kata a tuone😅
Hadi kocha wao alilalamika kwenye Post match interviewKuna mbus unawekwa mda si mrefu, Morinho akili zake anazijua mwenyewe.
View attachment 2641975
Hao Liverkunsen.
Yàani akitangulia hatari sana huyu mwambaMourinho mpira wake ni ule ule akitangulia anaacha kucheza anazuia...
Yah ni kweli lakini kuna muda bahati mbaya haizuilikiKatia gundu
Ingekuwa halftime bado huo moto angewashiwa na morinho change room angejuta kuzaliwa