Aaah kama wa hivyo imewahi nitokea mara kadhaa ila sijawahi kuchukulia kama sexual advantageNdio ishara zenyewe mkuu huwezi ambiwa unapendwa but "GREENLIGHT" kama huamini wanawake wanajua kuhonga nao basi utakuja kuamini siku moja. Mapenzi hayana baunsa, Huku wengine wakilia mizinga imezidi, we unaweza kuwa special case ukila nchi bila kutumia force!
Niliinjoi Sana. Haya mambo ya safari haya kukaa na manzi siti moja hatari Sana.
Napita tuYeah you baebz
Hipo hiyo mm naipenda sipendi kusumbuana sijui nakupenda mwisho unigande bure mtot wa watu
Kuna kamoja jana kamenikazia kunipa namba ni kazuri balaa sema hakana tako ila sura ipo njema na height. Nikaona no sweat! Uchawi hauendi kwa mentali.hahahaha tena kama vile vibint vya uswazi vinavyojifanya vya masaki husumbua sana aiseee..
Safari njemaNapita tu
Hizo zinakuwaga na mwisho mtamu sana kama mtoto kakuelewa. Kagiza kakiingia kama mnaenda parefu unaweza kupiga goma la brandy..."Mr. Piano meeeeen!" mkishuka tu unaenda kumalizia kaziNiliinjoi Sana. Haya mambo ya safari haya kukaa na manzi siti moja hatari Sana.
Madem wa uswaz kiukwel kwenye 6+6 wapo vizuri sana tatizo lao n mikogo hujifanya wagum kumb tepetepe tu hata bila maji unachovyaKuna kamoja jana kamenikazia kunipa namba ni kazuri balaa sema hakana tako ila sura ipo njema na height. Nikaona no sweat! Uchawi hauendi kwa mentali.
Hakuna sentensi tamu kama ya demu "kusema njoo tumbatone!" inaonesha jinsi gani yuko real na anajiamini vibaya mno
Tehtehteh.. kaka yako/pacha wako kakimbilia wapi siku hizi?Usijali babe huyo ni my eksi, nililivua pendo kwa sababu ya maringo yake tu
Hakuna sentensi tamu kama ya demu "kusema njoo tumbatone!" inaonesha jinsi gani yuko real na anajiamini vibaya mno
Wewe si unaona upo na mchuchu wako....kwann nisiringe.Unaona sasa? Usinitishe (in Maalim's voice)
Hahah aya bebi..ila mazoea zoea muache maana msije mkapasha kiporo dalili sio nzuri!Usijali babe huyo ni my eksi, nililivua pendo kwa sababu ya maringo yake tu
Tehtehteh.. kaka yako/pacha wako kakimbilia wapi siku hizi?
No inategemea na situation gani tulioko, ikiwa tulikuwa faragha na mazingira yanaruhusu means tushachokoana kihisia siwezi muhisi vibaya.Kwako kwa wengine wanakuita mhuni