[emoji23][emoji23][emoji1787] Ok. Nilipanda shabiby la mwisho dar to Dom. Nafasi niliyopata ni ya kule siti za nyuma kabisa na hakukuwa na abiria wengine. Kufika mbezi ikaingia bebe moja Kali Sana imevaa kisket kifupiii akikaa ndio balaa. Basi ikabidi aje akae kule nyuma. Tukawa wawili.
Kufika Moro Kama saa mbili ivi ikabidi tule. Nilichofanya nikamwomba yule manzi aniletee juice na bite yoyote atakayopata. Sikutaka kushuka. Nikampa elfu 10, akaikataa akasema nibaki nayo ataniletea. Poa. Akawa amerudi na hivyo vitu pamoja na msosi wake. Ila akanishauri nishuke hata nikachimbe dawa maana gari haitasimama Tena mpk Dom. Nikazingatia ushauri wake. Tukazoeana kimtindo, safari ikaendelea.
Kufika Dom usiku Kama saa sita nikamwambia Sina mpango wa kulala saivi nataka nitafute sehemu niache kijimzigo changu then niende sehemu nikaskilize mziki mkubwa na kugonga vikesto lite walau viwili maana ilikuwa ni jumamosi.
Nikaukizwa Wewe mgeni huku? Mimi, Ndio. Akanambia basi nisindikize home halafu takuonyesha viwanja. Poa huku namchora tuu. Akafika home akaacha mizigo then akanisaidia kutafuta loji. Niliposeto tukaenda sehem iliyochangamka. Mi nakandamiza vyombo vyangu yeye anabadilisha tuu maji, juice, soda nk. Bili ikija anachangia. Badae akanifosi tuondoke. Mm najua nampeleka kwao ananiambia anipeleke mm pale loji maana mm mgeni ukute hata nimepasau.
Kufika pale namuaga mlangoni ivi ananiambia kwao hatafunguliwa geti mida iyo Bora achill pale mpk kukuche kabisa. Huwezi amini yule manzi naingia bafuni kuoga na yeye akazama yupo nacked. Nashangaa shangaa akaniambia ana nyege hatari hawezi vumilia lazima nimtombe. Aisee. Nilipagawa kwa maswali kibao. Nikamuuliza tu huna ukimwi wewe? Hakunijibu akawa ananiangalia tu machozi yakimlenga lenga.
Nikiri tu kwamba uzembe niliofanya nilikaa nae yule manzi pale loji wiki nzima niliyokuwepo Dom. Yule manzi alikuwa anasoma CBE pale Dom na siku nasafiri nae ndio alikuwa anarudi chuo kutoka likizo. Pale kwake wamepanga geto na wenzake wawili badae nilichapa mmoja wao, ila baada ya muda mrefu kupita.
NI hayo tu mkuu sikutongoza ila mazingira yalijiseti yenyewe.