Sex bila kutongozana

Kuna kamoja jana kamenikazia kunipa namba ni kazuri balaa sema hakana tako ila sura ipo njema na height. Nikaona no sweat! Uchawi hauendi kwa mentali.
Kwahiyo ndo umekuja kunisema huku jamani[emoji28]....
 
Kweli dunia inaenda kasi sana, maana zamani watu walikua wanatongozana mwaka mzima na hakuna sex wala kiss lakin sikuhizi watu wanasex na wengne wanakiss bila kutongozana
 
Imewahi kunitokea Mara 2 hivi ....yaani huwa najiuliza sipati jibu.ghafla tu najikuta nimetunukiwa papuchi!
 
Yani happy ulichonifanyia jana wewe mungu anakuona[emoji23][emoji23][emoji23]
Ikitokea tumekutana tena nitakupa namba na offer ya kinywaji juu,upunguze kuteseka maana ulitia huruma....unaharakati za simba mwenda pole[emoji12]btw nilipenda ulivyosmart japo huku umeniponda sina wowowo ila sifa pokea
 
Hahahah asante mamii, nimezipokea kwa moyo mkunjufu! Ulitoka chicha sana sio siri ule umini na paja nene jeupe nilishindwa kuhimili mapigo yangu ya moyo! Ghafla vocal zikachomoka kistadi kwenye kolomelo na kujikuta nimehitaji # zako mlimbwende matata!
 
Siku hizi ukimnunulia mwanamke japo vocha unakula siku hiyohiyo.
Kweli dunia inaenda kasi sana, maana zamani watu walikua wanatongozana mwaka mzima na hakuna sex wala kiss lakin sikuhizi watu wanasex na wengne wanakiss bila kutongozana
 
Machangu wote wa Dodoma hujifanya wanafunzi wa CBE
 
Niliinjoi Sana. Haya mambo ya safari haya kukaa na manzi siti moja hatari Sana.

Aisee, ndo maana katika uislamu kuna sheria mwanamke haruhusiwi kusafiri peke yake hadi awe na maharimu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…