Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)


Hapa umefafanua vizuri sana hadi nimefurahi.
Hapa tunaona pia utoaji wa mbegu za kiume/kike kwa kila siku madhara yake mtu anakuwa kama mnyama na kujiona sio wa thamani tena
 
Yap ni kweli hili unalolisema na hata mimi nimelishuhudia mwenyewe.

Swali kubwa ni nini kifanyike kuleta suluhisho la haraka maana najua kinachotakiwa ni kuacha huu mchezo au kubadili tabia.

Lakini swali ni je hata kama mtu ataacha michezo hii itamchukua muda gani kuona matokeo chanya ukizingatia "AMEKUBUHU" katika hii michezo
 

Kinachoweza kumtoa mtu kwenye mtego huu ni Maditation tu.
Wanaoweza kutoka kwa njia nyingine ni wachache kuliko wanaobaki.
Na ili hii meditation iweze kukusaidia kwa haraka, itakupasa pia ujizuie kwa sana kuacha huu mchezo kwanza. Kama itakuwa vigumu kuacha, unajitahidi kupunguza.
Kama ulikuwa unapiga mara 2 kwa siku, unapiga mara moja. Pia baada ya muda tena unapunguza unapiga mara moja kwa siku mbili. Vivyo hivyo ukipunguza tu huku ukiendelea na meditation.
Kumbuka ukishaweza kufanya meditation hakuna tatizo litakalokutawala maana meditation inakufanya kuwa na ushirika na roho yako ambayo huutiisha mwili kwa kila tamaa iliyoko mbele yako.

Hata kuumwa huumwi kamwe. Labda wewe uruhusu tu ndipo utakapoumwa.
Matokeo chanya yataonekana kwa haraka sana.
Mfano ukiweza kuacha huu mchezo mbaya hata kwa mwezi tu unabadilika hadi mwili.
Kuna matokeo huonekana hata kwa week moja tu ambayo ni kule kuwa na uchovu kila day kutaondoka, macho kutokuuma tena, aibu nayo hupungua kwa kasi ya ajabu.
Pia mikosi huondoka
 
Shukrani sana mkuu, Nimekupata vizuri sana

Mie ni mtu wa totoz sana. tatizo kila nikifanyaga hio kitu kesho yake ninakuwa "down" sana mood na kila kitu, kiufupi siku inakua mbaya sana.

Cha ajabu pia kila nikimaliza kufanya hio kitu siku hizi lazima niparamie vyakula vya sukari nyingi mno mpaka najishangaa mara nyingine inanibidi nirambe sukari mno kama mtoto mdogo.

Umenisaidia sana kwa kushare hii info hapa mkuu
Ubarikiwe mno
 

....salute Mkuu
 

Kitu kingine kilichokuwa kikinisibu mimi pale ninapokuwa nimefululiza hili tendo ni kushindwa kula vizuri na kuchagua vyakula vilaini laini kama supu, uji, wali bokoboko, maziwa matunda na vingine vya aina hiyo.
Yani unakuta sio mgonjwa lakini unaendekeza vitu ambavyo hata mgonjwa hafanyi, na kama ikitokea umekaa siku kama 4 au 5 bila kufanya hilo tendo unajiona na wewe ni Mtu kati ya watu. Lakini ile furaha inakufa ghafla siku hiyo hiyo maana unajikuta umerudia tena kwa kasi kuliko siku uliyoishia.
Haya nayosema hapa, wapo ambao wanateseka sana na hii hali ya kuwa watumwa wa tamaa za kimwili na wengine hata wanafikia kutamani kujiua.
Kipindi naanza kuweza kuacha huu mchezo, kuna vijana tulikutana kwenye mtandao hivihivi na katika kubadilishana mawazo nilishangaa kuona hali zetu zinafanana na wengine walikiri kuwa walishajaribu kujiua sababu ya huu mchezo.

Kiujumla unamwathiri kisaikolojia mwenye kuufanya hata kufikia kujiua kutokana na yale anayopitia.
 

....cha msingi kula shiba ndo ugonge mzigo....asubuhi piga supu chapati nyingi kwa sana.....mayai ya kienyeji kwa sana ...kama wewe ni mpagani mchana sindikiza na Noah mboga za majani......dadeki mwili unarudi upya kwa mapambano mengine iwe ugenini au nyumbani
 
Vipi kuhusu prostitutes ambao let's say ana msururu wa watu 400 aliosex nao. Naye au hao wateja wake wana ties?
 

Fanya hicho kitendo mara mbili kwa siku kila siku alafu ule yote hayo uliyosema siku ukikosa hayo mahitaji yote utakoma. Utadorora kwa kasi hadi ushangae 🙂
Lakini bado hata ukitumia hayo yote bado tu utaona athari japo sio nyingi kama wale wasiojiweza
 
Vipi kuhusu prostitutes ambao let's say ana msururu wa watu 400 aliosex nao. Naye au hao wateja wake wana ties?
Yap prostitues wana hizo ties ndio maana maisha yao wengi yamekaa kushoto kushoto...
 
bibie utakuwa si mpenzi wa maandiko,anacho kisema ametoa kwenye bible

Kumbe kuna mahala kwenye biblia wameandika kuwa sex ni ibada kamili ikiwa Yesu mwenyewe katika miaka yake ya utume hakuwahi kuelezewa kuwa na mke wala kujihusisha na tendo hilo kwa namna yoyote ile. Inakuwaje hapo mkuu?
Au ibada hiyo sio ya lazima? Hebu nipe ufafanuzi kidogo maana mie mgeni
 
Hi Naomba nijaribu kuweka baadhi ya mambo sawa kidogo...hapa kuna issue nyingi zimeongelewa...kwaio..ntazielezea kwa kifupi tu...
Kabla ya hapo naomba kutoa tahadhari ...ambacho nitasema kinaweza kukinzana na Imani ambazo labda wengi wamekua nazo..wamefundishwa etc..ambacho nitakisema kwa kifupi...Nimeambiwa na Guides (kwa Astral Projectors watanielewa). kwaio i take it 99% of what im about to tell you ndo ukweli halisi...now kubali au kataa...utaendelea kubaki hivyo.. nitaweka hoja zangu into 3 concepts:

Concept 1: kwanza Inabidi uelewe concept ya Mwili na roho, ntaeleza kwa kifupi sana,
Ndugu ,Mwili sio ORIGINAL nature/form yetu sisi wanadamu..naamini nikisema sio original nature yetu nimeeleweka.. mwanadamu ki asili ni roho..hapo wewe ulipo ni roho/spirit/soul etc, Mwili ni cover /housing/ protective case Tu...ili kuwezesha roho yako ku survive kwenye hii sayari (ambayo hatukuumbiwa sisi..ila thats another topic)..hivyo basi umeelewa kua roho ndo wewe...wewe ni roho...na ufahamu/consciousness/awareness/nafsi yako viko attached/part ya roho yako...kwa mantiki hii ...ukifa..utaendelea kujifahamu..utatambua kua umekufa..na utaendelea kuwafahamu watoto wako au ndugu zako..utafahamu ulisoma chuo gani etc...kufa ni kitendo tu cha mwili kuchakaa..au kuchoka (kifo za uzee, hivi vifo vingine ni topic nyingine).Rejea kwenye bibilia..kwa wale wasomaji..Mara nyingi sana Yesu amekua akionesha jinsi gani miili haina thamani..mwili wako ni nothing.hupaswi kujisikia au kujivuna kwa lolote la ki mwili ...ni kasha tu. roho ndo kila kitu.

Concept 2: Sex, kwenye hii thread tunaongelea sex, kama umenielewa concept ya kwanza..now..understand..wakati roho imeumbwa..ndo ilipewa maagizo kuhusu sex, naomba nirudie..roho zipo tayari ila sio zote zina miili..kwa lugha nyingine..ingeweza kutokea wewe kuzaliwa kabla ya mzazi wako...roho zenu zilikuepo already ila ...ya kwake yeye ilitangulia kupata mwili (Rejea kitabu cha mwanzo (bibilia), sura ya kwanza Adamu na eva roho zao zilikuepo zote kwa pamoja, Sura ya pili..unaona adam anapewa mwili wa kwanza..kisha eva anafata( kutoka ubavu wa adamu)). ILA roho ndo iliambiwa kuhusu kuzaa na sex...
Hapa ndipo complication ya sex inakuja....Lengo hasa la sex ni kuzaa..(Reproduction) hio ndo purpose ya sex sio vinginevyo..ila kilichopewa maagizo ni Roho / why?? kwanini iwe roho na wakati sex ni kitendo cha mwili??
Sex ni kitendo cha kuipa roho mwili...roho ambayo ipo tayari (Rejea bibilia,"Nimekujua kabla hujatungwa mimba"). kufanikisha hili..lazma roho nyingine zihusike kutengeneza path/gate ili roho nyingine iingie kwenye mwili(mtoto tumboni) . hivyo basi ...kufanya sex na watu hovyo..watu wengi ni hatari..mana lengo linakua sio kuzaa..na mnajiweka kwenye mazingira hatarishi ya kuingiza roho nyingine juu yenu kila mnapokutana..hii roho inayoingia..inaweza kubaki ndani ya mmoja wenu..
ni kwa sababu hii ...ubikira imekua ikichukuliwa kua kigezo kikubwa katika kuunganisha watu wawili kwenye ndoa.
kwa kifupi sana..kama una uwezo wa kukaa bila kufanya sex ...ni vema sana..otherwise jiepushe na sex na kila mtu.

concept 3: punyeto: kuelewa hili...turudi kwenye suala la mwili...Sperms ni product tu ya mwili kama yalivyo machozi...au jasho , sperm zinapozidi mwilini NATURALLY zinatoka zenyewe ( wet dreams) .. punyeto ni kitendo tu cha kulazimisha kuzitoa...punyeto ikizidi ambacho kinaweza kutokea ni mwili kukosa nguvu..etc...ukilazimisha kitu chochote kutoka mwili tofauti na utaratibu wa mwili..utapata side effects zile zile za punyeto...ni sawa na mtu anaeharisha..(anapoteza maji mengi mwilini), hivyo hukosa nguvu,macho/kichwa kuuma etc Punyeto haina uhusiano wowote whatsoever na roho..hakuna muunganiko wowote unaofanya na roho yoyote unapofanya punyeto kwakua haiwezi kupelekea tokeo lolote linalohusisha roho.
Sperms zimekua zikiitwa fuel ya life kwa sababu 90% ya sperm ni protein (ambayo ndo building block ya cells/mwili) hio 10% ndo kuna zinc etc (fuatilia chemical content ya sperms).nb: yai la kiumbe chochote ni more than 90% protein ...mfano yai la kuku etc
mengi yanaongelewa..ila ukiwa na bahati kwa wale wanaofanya SAFE meditation na SAFE trips to astral world..ukiwa na bahati pia..ya kupata GUIDE..utaelezwa all the secrets of this world.. kwa wale wanaosoma bibilia..naamini kuna mambo labda yataanza kua clear kwenye akili zenu.

my advise..Dont do sex with everyone for fun..or dont do it at all..
 
Mkuu bona nimekuelewa vizuri sana nina maswali madogo 2
kwanza,umesema ku sex na watu wengi inapelekea kuungana nao kiroho yani sex italeta binadamu ambaye atapata roho nyingine sasa kama ume sex na mtu bt mtoto hakupatikana inakuwaje tena kuwe na bond?? Si inakuwa sawa na aliyepiga punyeto maana hamna sprit yyte iliyo waunganisha?
Pili,umesema roho tayari zipo ila zinahitaji miili tu ni kwa nini hizo roho zisibaki bila miili kuna ulazima gani? Maana at the end bado miili inakufa na kuiacha roho ni kama inarudi vilevile yaani bila miili
tatu,kwa mantiki hyo una manisha roho za watu ambazo zilikuwa zimepata miili badaye miili hyo kupote-kufa zinarudi tena duniani kwenye miili ya watu wengine au?
Nne,nini ultimate yake sasa? Kama roho zitakuwa zinajirudia rudia kwa watu?
Mada yako imenifikirisha kichwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…