Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Umechambua vizuri sana hapo kwenye tone moja la mbegu kuwa sawa na matone 40 ya damu.
Lakini ninachojua ni kuwa nguvu hii iliyoko kwenye kutengeneza mbegu mpya za kiume isipoelekezwa kwa umakini katika mambo ya kiroho na mambo ya kuijenga nafsi hupelekea kurudi katika mwili na kuwa na negative impact zaidi ya nguvu ya kwanza.
Kwamba, si kila mtu anaye abstain kufanya sex au kutoa mbegu zake huwa anapata mafanikio ya kiroho au kinafsi kwa sababu ya nguvu hio, wapo wengi tu ambao nguvu hio hurudi kuuharibu mwili na hata nafsi kwa kutibua emotions na free will kitu kinachomfanya mtu awe "mnyama zaidi" kuliko kuwa "binadamu zaidi" na jambo hili ni scientifically and spiritually proven.
Zipo njia nyingi sana za ku divert nguvu hii iwe ya kiroho au itumike kuijenga nafsi lakini kuu 4 ni KUFUNGA, KUFANYA MEDITATION na VISUALIZATION na MAOMBI.
Ndio maana mtu asiye fanya miongoni mwa hayo nguvu hii humpelekea kua mtu wa kuwaka tamaa za ngono muda wote au mtu wa aibu sana au hasira sana au mtu wa kujitenga na watu na upweke na mambo yote machafu unayoyajua.
Hapa umefafanua vizuri sana hadi nimefurahi.
Hapa tunaona pia utoaji wa mbegu za kiume/kike kwa kila siku madhara yake mtu anakuwa kama mnyama na kujiona sio wa thamani tena