DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kwamba tendo la ndoa (kwa wanandoa)/Zinaa (Kwa wasio wanandoa) huweza kuwa njia huweza kuwa njia au mlango wa kuifikia roho yako kwa namna hama nyingine.
Watu wawili wakiwa wanashiriki tendo hilo huwa si tena wawili wanakuwa wameungana na kuwa mwili mmoja kabisa, hii inawaunganisha kimwili, Kiakili/Kihisia na kiroho, hili jambo lina siri nzito sana.
Kwa wale wasoma biblia ukipita
Waefeso 5:31-32
"Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja. Siri hii takatifu ni kubwa. Sasa ninasema kwa habari ya Kristo na kutaniko."
Ukiwa na mtu ambaye mnakuwa actively mnashiriki nae sex jua fika mtashare mambo mengi katika ulimwengu wa hisia na kiroho pia hata kama mtakuwa hampo karibu kwa wakati huo.
Bani Isra'il / Al Isra aya ya 32
وَلَا تَقْرَبُوا۟ ٱلزِّنَىٰٓ ۖ إِنَّهُۥ كَانَ فَٰحِشَةًۭ وَسَآءَ سَبِيلًۭا
Wala taqraboo alzzina innahu kana fahishatan wasaa sabeelan
Wala msikaribie zinaa, Hakika huo ni uchafu Mkubwa sana na njia ya Upotovu..
Hii ni kwa sababu SEX ni ibada kamili kabisa, sex ni mkataba ambao miongoni mwa makubaliano ya huo mkataba ni kuwa connected.
Hii ndio maana inakuwia ngumu kumsahau na kumtoa akilini mtu ambaye mlikuwa nae active kwenye sex hata kama ilikuwa zamani na mna muda hamjaonana, bado ataendelea kuwa kwenye mind yako.
Nguvu yeyote ya kihisia na kiroho ikiweza kumpata mmoja wenu kutokana na sababu mbalimbali iwe kutakuwa na maamuzi sahihi.
Kusababishwa na mwigine inapata upenyo na mwanya wa kuweza kumpata mwenza wake maana ameacha njia ya upenyo na wao wanamkataba wa kuwa mwili mmoja.
Sex Huconnect Moto Uliopo kwenye Miili yetu ili kuchochea nafsi Kuiacha Roho itawale..
Ndo maana Kuna Ule Usemi wa peleka Moto au Kupata Joto au Kupeana Joto watu wengi hawajui maana Yake..
Mhubiri 4:9-11
"Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao.
Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua!
Tena, wawili wakilala pamoja, hapo watapata moto; lakini mmoja aliye peke yake tu awezaje kuona moto?"
Wale watu wa Sexual Alchemy watanielewa Zaidi hapo..
Kuna wakati badala ya kuhangaika na matatizo yanayo kufika hiwe ni mawazo yasiyoisha, mikosi n.k.
Anza kuhangaika kuondoa ties ulizo funga na wenza wako ni lazima kutakuwa kuna hole imetengenezwa na mmoja kati ya hao uliowahi shiriki nao, bila kuondoa hizo ties utakuwa kila siku unasolve na kutafuta njia za kuwa katika hali but vitu havikomi maana still vinapata njia ya kuja kwako, vunja tie hizo kwanza.
Sex haifanyiwi nje ya mwili hufanywa ndani ya mwili, katika kuthibitisha hili ukisoma, 1Wakorinto 6:18 inaonyesha kuwa sex hufanywa ndani ya mwili kwahiyo ina direct impact katika roho yako.
Kumbuka roho na mwili haviwezi tengana hadi kifo kikufike, kwahiyo connection ambayo umeziweka na uliesex nao huweza kuondoka pale mmoja wenu atakapofariki, Otherwise vunja ties na connection zenu.
Kuna watu hujikuta wanatamani kusex au kuingiliwa na wanaume wenzao, hata inafikia kiwango mtu kuota ana msodoma mwanaume mwenzie.
Ukiangalia wewe si Gay lakini ukicheza utajikuta unafanya kweli , Swali, Kwanini?
Kuna reason nyingi zinapeleka watu kutamani mapenzi ya jinsi moja ikiwemo roho za ajabu.
Sasa kama kuna vibinti ambacho umewahi kushiriki nae amaenza kufanya au kutamani hayo mambo ile roho inayompelekea kufanya hayo inapata na inatafuta upenyo kwako pia maana kupitia huyo kuna njiaa ya kuja kwako.