Sex is Gateway to your soul kuwa makini

Sex is Gateway to your soul kuwa makini

Vipi wale watu ambao wakati anasex na mtu anavuta hisia za mtu mwingine ambaye kiuhalisia hayupo hapo physically, Lakini ana assume ndio huyo anayefanya nae sex kwa muda huo?

Kama kweli sex inaunganisha watu wawili kihisia, Kwa nini mtu avute hisia za mtu mwingine ambaye kiuhalisia hasex naye hapo?

Kama kweli sex inaunganisha watu wawili wakisex kama unavyodai, Kwa nini mtu hapati hisia za mtu huyohuyo anaye sex naye kwa muda huohuo mpaka avute hisia za mtu mwingine ambaye hayupo?
Jibu hata Bila Kupepesa macho ni kwamba Akili haiko kwake so Once the psychs haipo No connection but ili kupata connection ametumia Portal ya Mtu mwingine Kuingilia connection aliyopo na kwa bahati mbaya au Nzuri connection imekubali Kwakuwa akili (Psychs) imeamini Yule Anayeconnect Naye ni Aisha wakati ni Halima ama Sophia..Once akili iki Hadaiwa bhasi connection zingine Zitaifunguka Kutokana na kosa la Akili..

Yaani Kilichokosea ni Akili hapo kufungua Geti la.connection
 
Sasa kama akili inaweza kuhadaiwa, Utasemaje kwamba ukisex na mtu unaungana naye kiakili?

Wakati hapo wala hujaungana naye kiakili umehadaa akili kwa kuvuta hisia za mtu mwingine?

Kama kweli ukisex na mtu unaungana naye kiakili na kihisia, Kwa nini uhadae akili au kwa nini uvute hisia za mtu mwingine kuhadaa akili?

Kama kweli ukisex na mtu unaungana naye kiakili na kihisia, Kwa nini Akili zisiungane automatically pasipo kuhitaji kuhadaa akili na kuvuta hisia za mtu mwingine?
 
Back
Top Bottom